Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Hivi wataalamu utawezaje kumtambua mwanamke aliyetoa mimba?
0 Reactions
9 Replies
13K Views
Wakuu niliwahi kusoma humu JF, kuwa kuna ndugu mmoja alikuwa anaelezea dawa ya vidonda kwa wenye kisukar. (of course hata na wasio na kisukar possibly, lakini siku hiyo alikuwa specific kwa ajili...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Nahitaji kumsaidia mpenzi wangu kwani uso wake afadhali ya fenesi, au kama kuna dawa mbadala u can tell me plz wadau.
0 Reactions
15 Replies
4K Views
nisaidie swali hili dactari, ni muhimu. hata wadau wenye ufahamu ktk suala hili mnaweza kuchangia.
0 Reactions
16 Replies
5K Views
girlfriend wangu ana hali ambayo yeye anashindwa kuielewa, inaweza ikamchukua hadi miezi 3 hadi 6 hajaenda siku zake (bleed) mara ya mwisho kwenda bleed ilikuwa Nov. 2011 hajaziona tena hadi mwezi...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
nina mpenzi wanu alibleed tar 22-4-12 na tukafanya mapenzi tar 29/4,6/5 na 13/5.. (Na tar 20/5 akableed kama kawaida)..na baada ya kubleed tar 27/5 tukadoo kama kawaida. Sasa juzi tar 3/5 akawa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Tangu jana kuna semina inayoendelea kuhusu biashara inayo weza kukupatia kipato katika muda wako wa ziada,na kuboresha afya yako.Jinsi ya kufanya semina inaisha kesho nitumie namba yako ya simu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kueleweshwa juu ya hili tatizo ambalo mwanamke anaambiwa homoni zake zimepungua na ni nini madhara yake? Na inasababishwa na nini na tiba yake nini?
0 Reactions
2 Replies
8K Views
kuna mdogo wangu,anatatizo,mi nikiangalia sehemu yangu ya uume kwa ndani(njia ya mkojo)kuna rangi nyekundu ambayo ni kawaida,sasa mdogo wangu yake ni nyeupe na kama kuna vi usaha kwa mbali!na kuna...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani wanajamii,mimi nina umri wa miaka 17,nina korodani mbili kama kawaida,lakini upand mmoja kuna kitu kama korodani ya tatu,afu kinafanana na korodani nyingine,sasa naombeni ushauri wenu hki...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Mi nikijana 26yrs,mpenzi wang anasumbliwa na maumivu ya mguu ktk maungio karibu na kikanyagio asawakat wa sikuza zake na wakat wa baridi unavimba.tumekwenda hospt.zaid ya 2 wamepîma lakn...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
hawa watafiti naona wana lao jambo baada ya kuwashauri watawa kutumia kinga ya mimba kama silaha ya kuzuia saratani ya matiti, ovarian na nyinginezo.........hawakutoa ushahidi kama watawa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna mmama mmoja alikuwa akitumia pills zikamzingua akaziacha 1wk laterakaenda hspl kuweka loop yapata miezi 5 na ss anadalili za mimba(tumbo kujaa),je km ni mimba ni madhara yapi yatampata mtt?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mke wa rafiki yangu anasumbuliwa na ziwa linamuuma upande wa kushoto,maumivu yanakuja nakupotea,alijua inaweza kuwa ni Cancer lakini amefanya vipimo ikaonekana hana tatizo lolote ila wamehisi ana...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Salamu Wakuu! Naomba kujuzwa kuhusu huu uchunguzi wa kitabibu unaofanywa na vituo hivyi vya tiba mbadala (SNS)vinavyosimamiwa na Askofu Gamanywa, je ni salama kwa afya za watumiaji? Na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naruhusiwa kunywa kilevi cha aina yoyote ile nikiwa under antibiotics dose??
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Za mchana.et zile ped za angels ile self test card inapima hiv status au km una infection yyt kwny uke
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Tumewahi umesikia au kusema 'nina homa'' au dalili za ugonjwa fulani ni pamoja na 'kupata homa'. Watu wengi (ikiwemo mimi) hatujui maana au dalili hasa za homa. Naomba msaada wa ufafanuzi juu ya...
0 Reactions
9 Replies
9K Views
Hi JF Doctor ! hoping ur doing fine! sijui ni ugonjwa au mabadiliko ya mwili kiumri nimejigundua nimekuwa na ukosefu wa kumbukumbu vizuri naweza nikaweka kitu mahali within a short time...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu naomba kujua kuhusu hili - Nimeona cheti za Death Certificate kimeandikwa (Course Of Death is CCF) Naomba kwa wale wataalamu wa udokta nini maana ya CCF! Asante.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…