Is it true kwamba kama girl friend wako ana chunusi usoni, ukimpaka sperms zinaisha? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Is it true kwamba kama girl friend wako ana chunusi usoni, ukimpaka sperms zinaisha?

Discussion in 'JF Doctor' started by TONGINDI, Jun 9, 2012.

 1. T

  TONGINDI Senior Member

  #1
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 176
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nahitaji kumsaidia mpenzi wangu kwani uso wake afadhali ya fenesi,
  au kama kuna dawa mbadala u can tell me plz wadau.
   
 2. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,591
  Likes Received: 9,524
  Trophy Points: 280
  hata mie nasikia hiyo kitu ila sijawahi kujaribu..maybe test halafu utuletee feedback

  ila nasikia eti akichukua kakufuli kake wakati wa kuoga akajisugulia usoni kama dodoki ile asidi inayopatikana kule chumvini ni kiboko ya hiyo michunusi(ila haven't proved if true)
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Jun 9, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,020
  Likes Received: 5,190
  Trophy Points: 280
  hivi una umri gani?
   
 4. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #4
  Jun 9, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 13,942
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  Ulimpendea nini kama sio hizo chupping?
   
 5. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #5
  Jun 9, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,423
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Mnyee hata uson mkuu
   
 6. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #6
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,994
  Likes Received: 2,717
  Trophy Points: 280
  jibu la swali hili litatusaidia sisi madoc kukupa dawa.....
   
 7. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #7
  Jun 9, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,487
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  licha ya dawa na ushauri wa kina naona anahtaji elimu huyu.
   
 8. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #8
  Jun 9, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 10,662
  Likes Received: 2,490
  Trophy Points: 280
  Ila nadhani watu wengi wanataka matokeo ya dawa yako hiyo,unaona hakuna majibu mazuri maana ni ngeni. Vuta subira nadhani watalaam pamoja na ma dr watakuja na majibu.
   
 9. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #9
  Jun 9, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  yaani huu ulimwengu,duuh haya kweli naona ya firauni,tafuta mafuta ya ubuyu apake au kuna alovera ya asili awe anakata anapaka yale maji yake itamsaidia
   
 10. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #10
  Jun 9, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 23,002
  Likes Received: 12,612
  Trophy Points: 280
  Japo mimi sio dr ila naweza kukusaidia ushauri.

  Chunusi ni uchafu unaokuwa secreted na sebasous glands zilizoko ndani ya ngozi. Secretion hizi ni pamoja na jasho na excess fat na zinatakiwa zitoke nje kama jasho kupitia vitundu vidogo vidogo kwenye ngozi vinavyoitwa pores.

  Mtu anapata chunusi baada ya hiyo secretion kushindwa kutoka kufuatia au ngozi kuwa na mafuta sana (oily skin) hivyo kuziba hivyo vitundu hivyo secretion kushindwa kutoka na kujidunduliza kuwa chunusi au mwili wake kutoa mafuta mengi zaidi, over secretion.

  Kama ni vile vichunusi vya kawaida wakati akikaribia, hivi ni normal na hali ya kuja na kupita. Kama ni all the time hapo sasa huu ndio ushauri wangu.

  Dawa ni
  1. Apunguze vyakula vya mafuta ya wanyama mfano samli, nyama za mafuta na chips kuku wa kizungu.
  2. Angeze mazoezi ya mwili ili kumtoa jasho na kuzibua zile pores.
  3.Kunawa mara kwa mara kwa kutumia maji ya vuguvugu ili wakati wote kukausha mafuta vitundu viwe wazi!.
  4. Atumie zile wipes za kuwafutia watoto mara kwa mara ila pia atafute wipes za ukweli kama za huggies etc maana famba zipo kibao!.
  5. Asipake poda wala make up zozote zaidi ya dry lotion na inapobidi kupaka ahakikishe ananawa vizuri anaporudi home.
  6. Kufuatia kuzitoboa au kuzikamua chunusi mara kwa mara, ngozi inakuwa demaged, kama kuchunika na vidonda vidogo vidogo, anything protein in nature in heal demaged skin!.

  Vitu ambavyo ni protein in nature ni pamoja na parachichi, tui la nazi, juice ya tango, juice ya karoti, maji ya maharage au kunde, maji ya soya, asali mbichi, aloe vera, etc, etc, na sperms ni very rich pure protein!.

  Angalizo:
  Ziko chunusi nyingine ambazo zimepitiliza, zinaitwa acne, huu ni ugonjwa unahitaji matibabu hospitalini!.

  Pasco.
   
 11. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #11
  Jun 9, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 10,637
  Likes Received: 1,491
  Trophy Points: 280
  Thank you nilitaka kuuliza swali hili...
   
 12. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #12
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,994
  Likes Received: 2,717
  Trophy Points: 280
  doc heshima kwako.....
   
 13. Geraldo DaVinci

  Geraldo DaVinci JF-Expert Member

  #13
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 276
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  dah maswali yako utata mtupu
   
 14. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #14
  Jun 9, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 10,637
  Likes Received: 1,491
  Trophy Points: 280
  heshima yako da preta..!!.. wanasemaje A- town .. ?! hili swali alouliza mkuu! mi nadhani ni under 18 huyu ..
   
 15. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #15
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,994
  Likes Received: 2,717
  Trophy Points: 280
  A-town baridi kali lakini tunakomaa nayo.....kijana bado mdogo huyu doc....karibu mjini kwetu....
   
 16. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #16
  Jun 9, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 10,637
  Likes Received: 1,491
  Trophy Points: 280
  sijawahi kufika A town bana! ila nina mpango nikirudi TZ at list nikafanye volunteer mount meru ... nina ndugu yangu njiro i hope haitakuwa mbali kivile
   
Loading...