Je huu ni ugonjwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je huu ni ugonjwa?

Discussion in 'JF Doctor' started by strong lady, Jun 6, 2012.

 1. s

  strong lady Member

  #1
  Jun 6, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hi JF Doctor ! hoping ur doing fine! sijui ni ugonjwa au mabadiliko ya mwili kiumri nimejigundua nimekuwa na ukosefu wa kumbukumbu vizuri naweza nikaweka kitu mahali within a short time nikasahau kabisa nilipokiweka au nikaongea na mtu jambo baada ya muda mfupi sikumbuki tulikuwa tunaongea topic gani,kazini tulichelewa kutumia computer nilikariri kazi nyingi kichwani nahisi niliuchosha sana ubongo wangu je kuna tiba ya kuactivate kidogo kumbukumbu?
   
 2. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  mweeh.
   
 3. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  Amnesia ni ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu (loss of memory) ugonjwa huu aghlabu huwatokea vizee na watu wenye matatizo ya akili.


  Mara nyingi mgonjwa husahau maneno au majina ya watu wake na mara nyengine husahau hadi jina lake pamoja na ukoo wake mzima, na husau yote yale yaliyopita katika maisha yake.


  Sababu kuu ya maradhi haya ni kutengana kwa cells za ubongo kwa maradhi ambayo yanawakumbuka kwa njia moja au njia nyengine kutokana na upungufu wa mwendo wa damu ndani ya mwili.


  Maradhi haya pia husababisha mtu kuwa kama "Zuzu" na mtu wa kutojifahamu.


  Pia mtu anaekumbwa na maradhi haya mabaya, ima atakumbuka mateso yaliyomkumbuka au atakumbuka utoto wake na ukumbukaji wake unakuwa wa muda mdogo sana hauchukui hata dakika 10 basi tayari anakuwa kishasahau.


  Rosemary: ni moja katika dawa inayojulikana kwa kuondoa au kupunguza maradhi haya. Zamani watu walikuwa wakichemsha majani yake na kuvuta harufu yake pia walikuwa wakitengeza chai kwa majani ya rose mary kwajili wagonjwa.


  Lozi: ni moja katika dawa za kuzidisha memory. Chukua lozi 10-12 na uziroweshe katika maji usiku wa kucha na uzitoe maganda yake na uzile kila siku. Pia uvute harufu ya mafuta yake kila asubuhi.


  Walnut: nayo ni dawa inayosaidia sana kurudisha memory kila siku asubuhi ule kiasi ya 20gm pamoja na raisin 10 gm.


  Apple pamoja na asali nayo ni dawa nzuri kwa maradhi hayo kila siku uwe unakula pamoja na kikombe kimoja cha maziwa.


  Saga pili pili manga chembe 5 uchange na asali na unywe asubuhi na jioni kila siku.


  Mgonjwa apewe zaidi maziwa ya ngo'mbe pamoja na fruits kwa wingi.


  Anatakiwa apate masaa yake nane ya kulala bila kukerwa.


  Mgonjwa wa aina hiyo anahitaji mapenzi zaidi kwa watu wake wote wa karibu. Kwani kiroho mwenyewe huhisi ametengwa lakini anakuwa hajijui kama yeye hajifahamu wala hakumbuki kitu yeye anaona kuwa anatengwa na kuonewa. Tumia mkuu kisha unipe Feedback......................... strong lady


  [​IMG]
  Lozi (Almond)
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,963
  Likes Received: 1,846
  Trophy Points: 280
  Leo ni siku nzuri sana mimi huwa na theories tu lakin solution sinaga manake i didin't into that deep but MziziMkavu unanifundisha traditional medicines. Nakumbuka kuna corse moja niliwah soma inaitwa economic botany hapo tulijifunza sana aina ya medicinal palants but we didn.t go deep into such extent. sasa ningeongezea na traditional chemist may be ningekuwa mtaalam sana kuku zidi wewe (utani)..........................lol! real be blessed MziziMkavu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. stephot

  stephot JF-Expert Member

  #5
  Jun 8, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 5,023
  Likes Received: 2,642
  Trophy Points: 280
  Thanks Mzizi makavu unatusaidia sana mkuu,kwanini usianzishe mishughuli kama ya kina Ndodi ya kutafuta promo za TV,Radios n.k.
   
 6. s

  strong lady Member

  #6
  Jun 8, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Asante MziziMkavu nitafuata matibabu mapema maana nimeogopa kama itafikia kusahau mpaka jina langu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...