Ninamba msaada/ushaul | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ninamba msaada/ushaul

Discussion in 'JF Doctor' started by Ebde, Jun 9, 2012.

 1. E

  Ebde Member

  #1
  Jun 9, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi nikijana 26yrs,mpenzi wang anasumbliwa na maumivu ya mguu ktk maungio karibu na kikanyagio asawakat wa sikuza zake na wakat wa baridi unavimba.tumekwenda hospt.zaid ya 2 wamepîma lakn awapati tatizo.doct hii hali itakuwa inasabbishwa nanii,na atumienin?
   
Loading...