msaada jamani naona nauzwa kabisaaaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada jamani naona nauzwa kabisaaaa

Discussion in 'JF Doctor' started by bung'a, Jun 8, 2012.

 1. b

  bung'a Senior Member

  #1
  Jun 8, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 152
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  nina mpenzi wanu alibleed tar 22-4-12 na tukafanya mapenzi tar 29/4,6/5 na 13/5.. (Na tar 20/5 akableed kama kawaida)..na baada ya kubleed tar 27/5 tukadoo kama kawaida. Sasa juzi tar 3/5 akawa anajiskia kuumwa tumbo kiuno na miguu. Nikamwambia aende hospitali wakamwambia apime mkojo kwa sababu malaria alikuwa hana..baada ya kupima mkojo akaambiwa ana ujauzito .. Je? Ndugu zangu kuna ujauzito hapo?
   
 2. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  si yako!mimba angepata baada ya siku 9-16 tangu aanze bleed.ila nakushauri ubebee tuu mzigo alikua anategea ili umuoe
   
 3. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  sasa kama alikua anablid tatizo lipi? She might be true, and thats your pregnant cha msingi ujue ni ya muda gani, WAPO WANAOBEBA MIMBA WAKATI na HUKU WANABLEED, WATAALAM NA MADOKTA WAUKWEL WATASAPOT HILI, NA KAMA PIA MLIDO CKU YA 8 KAMA MZUNGUKO WAKE NI MFUPI CKU 26 UWEZEKANO WA MIMBA PIA UPO TENA MOSTLY NI BEB BOY!
   
 4. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  kweli wewe ni bongo lala cshangai.
   
 5. b

  bung'a Senior Member

  #5
  Jun 8, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 152
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  asante ntalifanyia kazi
   
 6. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #6
  Jun 8, 2012
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Nashukuru umemuelewa Kilahunja.
  Alichosema ni kweli,tena kuna wanawake wanaona damu hata mimba ikiwa kubwa.
  New life in the making raha iliyoje,glory be to our creator.
  Navopenda watoto akizaliwa baby sitter wa bure niko hapa lol
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #7
  Jun 8, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  ni ya kwako hiyo
   
 8. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #8
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Kwisha HABARI yako umerikologa lazima ulinywe!

  Wajameni zinaa mungu hapendi.
   
 9. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #9
  Jun 8, 2012
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,788
  Likes Received: 6,299
  Trophy Points: 280
  Baada ya miezi mitatu ukapime ngoma pia mkuu! (joke)
   
 10. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #10
  Jun 9, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  ulikanyanga hayo ndio matokeo kubali yaishe
   
 11. Geofrey_GAMS

  Geofrey_GAMS JF-Expert Member

  #11
  Jun 9, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 564
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  kwanz nimependa staili yako ya kufanya mapenzi kila j,mosi, hlf pia inawezekana hiyo ni mimba yako mkuu, maaana hizo ni dalili za wiki ya kwanza mimba
   
 12. m

  majeshi Member

  #12
  Jun 9, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Usikatae alitegesha vizur mtunze huyo amchelew kwenda kufanya abortion
   
 13. b

  bung'a Senior Member

  #13
  Jun 9, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 152
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  sio kila jmosi mkuu ni kila j2
   
 14. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #14
  Jun 9, 2012
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Mzunguko wake unaonesha ni siku 29, kwa siku hizo mlizo-do mh nina mashaka kweli kweli!
   
Loading...