Maumivu ya Ziwa

stephot

JF-Expert Member
Mar 1, 2012
15,834
22,944
Mke wa rafiki yangu anasumbuliwa na ziwa linamuuma upande wa kushoto,maumivu yanakuja nakupotea,alijua inaweza kuwa ni Cancer lakini amefanya vipimo ikaonekana hana tatizo lolote ila wamehisi ana hormonal changes,maumivu yanaanzia kwenye ziwa yana-spread mpaka kwenye mkono na shingo then after awhile yanapotea,hana uvimbe ila she is 43 yrs old,tulikaa mahali na mtu akatueleza kuwa inaweza kuwa ni dalili za Menapouse,kuna mtu yoyote mwenye idea na hili ili nimsaidie mshkaji wangu maana amepoteza amani.
 
mke wa rafk ako? Then mshkaji? MADOKTA WAMEKUPA JIBU SAHIHI, BT MENOPOZ BADO 43 NI MDOGO SANA.
 
Back
Top Bottom