Kujikinga na saratani watawa washauriwa kutumia daily pills! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kujikinga na saratani watawa washauriwa kutumia daily pills!

Discussion in 'JF Doctor' started by Rutashubanyuma, Jun 9, 2012.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 419,787
  Trophy Points: 280
  hawa watafiti naona wana lao jambo baada ya kuwashauri watawa kutumia kinga ya mimba kama silaha ya kuzuia saratani ya matiti, ovarian na nyinginezo.........hawakutoa ushahidi kama watawa wanadhurika na hayo magonjwa.............Kama hawadhuriki hizi shida ni za nini? Kumeza kidonge kimoja kila siku siyo utani......mimi binafsi siamini kam akuna kidonge umeze kiwe hakina madhara....................madhara yapo ila huwa tunapima madhara ya kutumia dawa na kutotumia yepi ni makubwa na hapo ndio tunafanya maamuzi.....

  [h=1]Why nuns might be stoking cancer in quest to stay chaste
  [/h]
   
 2. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 419,787
  Trophy Points: 280
  hoja hizi zinaonyesha huu mjadala siyo mwepesi.............na siyo rahisi kuukubali kirahisi rahisi tu........
   
 3. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #3
  Jun 9, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 419,787
  Trophy Points: 280
  Huyu dokta anaamini maisha ya ukapera yanasaidia kuzuia aina tajwa za saratani....................mjadala huu ni mgumu hata kujua nani anasema ukweli....................time is the best teacher here.......ingawaje tungepewa takwimu za vifo vya watawa vitokanavyo na saratani zingelisaidia kujua kama kwanza ni tatizo kwao au la..........
   
Loading...