Course Of Death - CCF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Course Of Death - CCF

Discussion in 'JF Doctor' started by Ndallo, Jun 6, 2012.

 1. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,129
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  Wakuu naomba kujua kuhusu hili - Nimeona cheti za Death Certificate kimeandikwa (Course Of Death is CCF) Naomba kwa wale wataalamu wa udokta nini maana ya CCF! Asante.
   
 2. li sheng

  li sheng Member

  #2
  Jun 7, 2012
  Joined: Sep 11, 2008
  Messages: 47
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Salam,
  C C F ni neno la msamiati wa kitabibu ambalo ni kifupipisho cha NENO C= CONGESTIVE C= CARDIAC F= FAILURE ni ugonjwa unaotokana na moyo kushindwa kufanya kazi zake na kusababisha mrundikano wa damu kwenye mwili ambao huambatana na dalili za mgonjwa kushindwa kupumua vizuri hususan akilala chali, kuvimba miguu na hata kufikia hatua ya kuvimba tumbo, natumai kwa maelezo hayo kwa mtu wa kawaida, utakuwa umefarijika kama bado jamvi liko wazi karibu tena.
   
 3. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,129
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  Asante sana ndugu!:clap2:
   
Loading...