je naruhusiwa??

tara

Senior Member
Jun 5, 2012
189
61
Naruhusiwa kunywa kilevi cha aina yoyote ile nikiwa under antibiotics dose??
 
Ulikozipata hizo antibiotics hawakukuambia masharti yake? Au ulisahau kuuliza?
 
Acha ulevi usiokuwa na akili,unaumwa halafu unataka unywe pombe we vipi bana!!!!!!!wana JF bado tunakupenda,tunahitaji michango yako humu ndani,becareful you live once.
 
Kama alivyosema mchangiaji mmoja ANDIKA WOSIA kisha kunywa dawa na shushia kwa konyagi, wiski na hata ikiwezekana gongo.
 
Kama alivyosema mchangiaji mmoja ANDIKA WOSIA kisha kunywa dawa na shushia kwa konyagi, wiski na hata ikiwezekana gongo.
Mkuu@Tume ya katiba angalia maneno yako usije kuwatukana watu naona unakuja ju ile mbaya wajibu vizuri kiungwana usiwajibu kwa matusi au kihuni asante nakuomba samahani kama nimekukwaza Mkuu wangu.
 
Back
Top Bottom