hivi msichana akifanya mapenzi bila kutumia condom siku ya ovulation anaweza kupata mimba? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hivi msichana akifanya mapenzi bila kutumia condom siku ya ovulation anaweza kupata mimba?

Discussion in 'JF Doctor' started by TONGINDI, Jun 9, 2012.

 1. T

  TONGINDI Senior Member

  #1
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 176
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  nisaidie swali hili dactari, ni muhimu. hata wadau wenye ufahamu ktk suala hili mnaweza kuchangia.
   
 2. b

  bung'a Senior Member

  #2
  Jun 9, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 152
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  sasa unategemea nini hapo lazima kitu kikubali labda mwanaume awe joka la kibisa.
   
 3. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #3
  Jun 9, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,446
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Wanaume wasikuhizi wanapenda ngono ila wanaogopa mimba kwelikweli na hawakawii kumkameroon mtu kuogopa mimba leo 2 kuanzia asubuhi huu ni uzi wa pili kuuliza jae ana mimba kuweni waangalifu bana/
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Jun 9, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,139
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Katu haiwezekani, labda siku ya evolution.
   
 5. T

  TONGINDI Senior Member

  #5
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 176
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  wewe jibu swali porojo za nini? Wewe umekuwa nape anayesema hata akibaki peke yake ccm haiwezi kufa!
   
 6. T

  TONGINDI Senior Member

  #6
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 176
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  wewe kweli ni kilaza, anyway ndo upeo wake.
   
 7. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #7
  Jun 9, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,446
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  tongindi hahahaah umeniuwa mbavu zangu kila siku juzi hapa wamefundishwa kalenda leo viswali uchwara hapa unafikiri shule za kiislam kitand hakizai haramu saa unangonoka ulijua nini ukubwa ndo ushawanyemelea tena
   
 8. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #8
  Jun 9, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 10,351
  Likes Received: 1,299
  Trophy Points: 280
  of coz siku ya ovulation si ndio perfect time ...
   
 9. T

  TONGINDI Senior Member

  #9
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 176
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ahsante sana, je nikimwaga nje?
   
 10. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #10
  Jun 9, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,634
  Likes Received: 243
  Trophy Points: 160
  Hiyo ya kumwaga nje ni very risk..inahitaji umakini sana wala sikushauri. Kuwa mvumilivu tu kwani usipukula siku tatu utakufa..
   
 11. Mama Yeyoo

  Mama Yeyoo Senior Member

  #11
  Jun 9, 2012
  Joined: Mar 25, 2012
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani utoto huu nao kazi...!!!!mwaga tu dogo....mwaga kabisaaa,wala hatapata mimba....ila ukianza kuona anakuomba umnunulie ukwaju mpeleke hospitali maana inawezekana ukawa umemuambukiza safura...lol
   
 12. I

  Iddy Member

  #12
  Jun 9, 2012
  Joined: Dec 31, 2009
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13

  hahahahaha!
   
 13. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #13
  Jun 9, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 29,254
  Likes Received: 4,241
  Trophy Points: 280
  unauliza makofi polisi?

  Kwa ufupi dogo umeumia.......
   
 14. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #14
  Jun 9, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,837
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 0
  Unauliza chakula kilicho pakazwa kinyesi ukila utapata kipindupindu?
   
 15. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #15
  Jun 9, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,487
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  wala sio kilaza wewe ndo kilaza..amejibu that on purpose in otherwords the answer meant was YES!
   
 16. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #16
  Jun 9, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,487
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  sasa shule ya kislam na mada wap na wap, acha mambo ya udini wewe.
   
 17. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #17
  Jun 9, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,487
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  umeona eeh!
   
Loading...