Utajuaje

G

GABE100

Member
Joined
Mar 27, 2012
Messages
51
Likes
0
Points
0
G

GABE100

Member
Joined Mar 27, 2012
51 0 0
Hivi wataalamu utawezaje kumtambua mwanamke aliyetoa mimba?
 
gfsonwin

gfsonwin

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Messages
17,686
Likes
3,649
Points
280
Age
46
gfsonwin

gfsonwin

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2012
17,686 3,649 280
MziziMkavu, kumbe wewe mgomvi Dr wangu..........lol! nirudi kwako GABE100. ni rahisi sana kumjua mwanamke/ binti aliyeharibi mimba/ aliyetoa mimba iapo uko na muhusika karibu.

dalili zake ni

maumivu makali ya tumbo.
kupata homa kali
kupungukwa damu
mwili kujaa (ooedeima)
kizunguzungu

dalili hizi pia hutegemea njia iliyotumika katika kuharibu ujauzito huo. Iwapo binti ataharibu mimba kwa njia za kienyeji ni dhahiri kuwa dalili zitaongezeka kama vile kuwa na harufu mbaya ya mwili, maumivu makali sana ya tumbo na mgongo.

kwa wale wanakwenda hosp kuharibu hawa wamegawanyika katika makundi mawili.

kundi la kwanza ni wale wanaoharibiwa kwa kutobolewa nyumba ya mtoto kisha maji yandani omnionic fluid ika drain out ili kumfanya mtoto asuffocate na mwishowe kizazi kimterminate. mata nyingi hii ni kwa zile mimba kuanzia miez 3>

hawadalili zao mara nyinngi huwa kama dalili tajwa hapo juu. Pia huwea kutoa harufu kali na damu kutoka mfullulizo na mwishowe kabisa lazima at expell kiumbe.

kundi jingine ni wale wanaofanya D&C. hawa wao kwakua wanasafishwa kizazi kabisa hospitalini basi hawawi na complications sana zaid ya maumivu kidogo ya tumbo na kutoka damu.

siku hizi pia kuna vidonge vipo kwaajili ya pregnancy termination ambavyo vinafanya kazi iwapo ujauzito ni mdogo sana like haujazidi mwez mmoja. dawa hizi binti atumiapo basi kiumbe tajwa hutoka kama sehem ya hedhi yake tu.................. MziziMkavu endelea kumuelezea mmi kwa somo la kiulim naishia hapa............mimi siyo Dr ni mwl so ushauri wa Dr unahitajika pia.
 
Last edited by a moderator:
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,027
Likes
5,486
Points
280
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,027 5,486 280

Ndio hicho ninachokupendea Mwalimu wangu upo mwepesi kufahamu kila kitu Asante ubarikiwe ................... gfsonwin
 
Last edited by a moderator:
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2009
Messages
27,677
Likes
2,791
Points
280
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2009
27,677 2,791 280
Siku hizi kuna teknolojia za kutoa mimba, baada ya hapo hata unyumba unapewa same day.

Kama katoa makusudi achana nae atadeal na Muumba wake. Kama ni 'threatened abortion', akianza kuona damu inatoka ama discharge isiyo ya kawaida ama maumivu awahi kwa dr wake.
 
gfsonwin

gfsonwin

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Messages
17,686
Likes
3,649
Points
280
Age
46
gfsonwin

gfsonwin

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2012
17,686 3,649 280
Ndio hicho ninachokupendea Mwalimu wangu upo mwepesi kufahamu kila kitu Asante ubarikiwe ................... gfsonwin
ahsante sana MziziMkavu Dr wangu. but sifa zako zaniacha hoi mimi
 
Last edited by a moderator:
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,027
Likes
5,486
Points
280
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,027 5,486 280
ahsante sana MziziMkavu Dr wangu. but sifa zako zaniacha hoi mimi
Mimi nina Sifa gani sijuwi chochote wala sikuenda shule nitakuwaje na sifa?.......................... gfsonwin birthday yako lini umezaliwa tarehe gani na mwezi gani? mwaka usiambie ninataka kukupa Future kuhusu nyota yako?
 
Last edited by a moderator:
BADILI TABIA

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2011
Messages
31,002
Likes
6,456
Points
280
BADILI TABIA

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2011
31,002 6,456 280
siku hizi hakuna dalili, wakimtoa hutoona dalili na unyumba utapewa
 
bornagain

bornagain

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Messages
3,385
Likes
32
Points
145
bornagain

bornagain

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2012
3,385 32 145
Na kama aliwahi kutoa mimba then mkakutana ukubwani pia unaweza kumtambua mtu wa nama hiyo
 
gfsonwin

gfsonwin

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Messages
17,686
Likes
3,649
Points
280
Age
46
gfsonwin

gfsonwin

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2012
17,686 3,649 280
Mimi nina Sifa gani sijuwi chochote wala sikuenda shule nitakuwaje na sifa?.......................... gfsonwin birthday yako lini umezaliwa tarehe gani na mwezi gani? mwaka usiambie ninataka kukupa Future kuhusu nyota yako?
21/3 haya bashiri, but kama ni mambo mabaya just tell kwenye pm usiyaweke hapa
 
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,027
Likes
5,486
Points
280
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,027 5,486 280
21/3 haya bashiri, but kama ni mambo mabaya just tell kwenye pm usiyaweke hapa
Mimi nitakubashiria lakini mimi sio Sheikh wala sio Mganga wa kienyeji wala sio Nabii wala sio Mchungaji.Kwa tarehe uliyotowa yaani 21/3March inakwenda hiyo Tarehe mpaka tarehe 20/4April kutoka Marach21,22,23,24, na kuendelea mpaka April 20.

NYOTA YA PUNDA AU KONDOO (ARIES)
Hii ni nyota ya kwanza katika mlolongo wa nyota 12.

Wenye nyota hii ni wale waliozaliwa kati ya tarehe 21st March na tarehe 20 April ya mwaka wowote.
Sayari yao ni Mars (Mariikh)
Siku yao ya bahati ni Jumanne
Namba yao ya bahati ni 9
Rangi yao ya Bahati ni Nyekundu.
Asili yao ni Moto.

NYOTA YA PUNDA KATIKA MAPENZI NA MAHABA

Kwa vile wao ni wenye nyota ya kwanza mara nyingi wenye nyota hii wanapenda kuwa mbele. Wanakuwa wakarimu na wenye pendo kwa wapenzi wao.

Ni watu wenye kupenda kushirikiana na watu wengine, wanapenda mikusanyiko ya jamii na wacheshi. Ni watu wazuri kuwa nao karibu na mara nyingi wao wanakuwa ndio maisha na roho ya kundi wanalojihusisha nalo. Hivyo inatokana na

tabia zao za asili za uchangamfu. Hata hivyo wakiudhiwa huwa ni viumbe wenye hasira kali.
Wenye nyota hii ni wepesi sana kuvunjika moyo na hii inatokea wakati wapenzi wao wanapowaangusha au

kuwadharau katika mapenzi ambayo wao wanayachukulia kwa uzito mkubwa.
Pamoja na uchangamfu walio nao wenye nyota ya Punda wana moyo dhaifu usiovumilia matatizo na wanaweza kudhuriwa kirahisi katika mapenzi.

Wanaingia katika mapenzi na kupenda kirahisi. Mara nyingi wanawafanya wapenzi wao ndio nguzo au kiegemezo na hapo ndipo matatizo yanapoanza.

Wasipopata njia ya kutatua matatizo ya kimapenzi huwa wanachanganyikiwa na wanafadhaika sana hasa wanapogundua kwamba wapenzi wao ni binadamu kinyume na walivyofikira wao.

Kwao wazo la kuwa waaminifu kwa mpenzi mmoja milele linapewa kipaumbele katika mambo ya mahaba, lakini wakiona mambo yanaenda kombo basi ni mwepesi sana kuondoka kwenda kutatufa mpenzi mpya sehemu nyingineyo.

Kwa ujumla wenye nyota ya Punda ni watu wenye mapenzi motomoto, tatizo lao kuwa hawapendi kusikiliza ushauri wa kimapenzi, na hawakubaliani na mambo nusu nusu. Ni watu wenye kutegemea mazuri wakati wote na hawakubali

kushindwa. Hupenda kukimbilia katika mapenzi bila kufikiri wanapohisi wamepata mpenzi wa kweli. Ni wepesi kuvutwa katika mapenzi na ni wenye miamko ya ghafla au misukumo ya kiwazimu ambayo wakati mwingine inawafanya waonekane wapumbavu.

Hayo ninakupa kwanza machache yapo mengi ila ninakupa kidogo kwanza upate kusoma.
 
Forum statistics

Threads 1,273,063
Members 490,259
Posts 30,469,410