Korodani Tatu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Korodani Tatu

Discussion in 'JF Doctor' started by Chunusi za Kidevuni, Jun 8, 2012.

 1. C

  Chunusi za Kidevuni New Member

  #1
  Jun 8, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani wanajamii,mimi nina umri wa miaka 17,nina korodani mbili kama kawaida,lakini upand mmoja kuna kitu kama korodani ya tatu,afu kinafanana na korodani nyingine,sasa naombeni ushauri wenu hki ninini?
  Je kinaweza kuwa na madhara katika mfumo wa uzazi?
   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,600
  Trophy Points: 280
  Nenda Hospitalini kamuone Daktari upesi akufanyie uchunguzi wa kina usingojee ushauri wa watu hapa nakushauri fanya hivyo . Mkuu.......... Chunusi za Kidevuni
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. S

  Sheshejr JF-Expert Member

  #3
  Jun 9, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 435
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  fanya kama ulivyoambiwa tafadhal, mods naomba mfunge huu uz ushaur wa maana tayar ashapewa huyu!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #4
  Jun 9, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  mkuu nenda hospitali, yawezekana uko unique lakini huwezi jua kwani kuna haja ya kufahamu hiyo ya tatu ipo tangu mdogo au imeota ukubwani maana kama ni tangu mtoto then wazazi watakua wanajua, na kama ni ukubwani basi si ajabu ni ubimbe ambao wahitaji immediate attention
   
 5. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #5
  Jun 9, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  ungeanza kwa kufunga bakuli lako
   
 6. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #6
  Jun 9, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Kaka ulemavu auchagui kuna demu mmoja nshawahi kuduu nae ana kijiume kidogo kwa juu nacho kinasimama ukimwingilia dadake yan k*ma.
   
Loading...