International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Kwa mara nyingine Marekani imekamatwa ikidukua Nchi rafiki na viongozi wa nchi hizo Uvujaji wa Siri siku za hivi karibuni umefichua umbali ambao Marekani imeenda kupata taarifa hadi milangoni mwa...
5 Reactions
46 Replies
3K Views
Umoja wa Mataifa unaangazia kusitisha shughuli zake nchini Afghanistan baada ya Taliban kuwazuia wanawake kufanya kazi kwenye mashirika ya umoja huo nchini humo. Taarifa iliyoachapishwa mapema...
0 Reactions
3 Replies
840 Views
Bunge la Iran limeidhinisha mapendekezo ya kutoa adhabu kali kwa wahusika wa ukatili dhidi ya wanawake, mapendekezo ambayo yanaweza kupitishwa na kuwa sheria ndani ya miezi michache. Yakianzishwa...
0 Reactions
2 Replies
706 Views
Mrusi ametupia kila kitu hapo Bakhmut, "mizoga" ya Warusi kila siku inaongezeka kwa maelfu lakini wazalendo wa Ukraine wamesimama kidete, wanapambana kuingia kwenye historia kama Daudi dhidi ya...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
China imeyapa upya majina maeneo 11 yanayogombaniwa kati yake na India mwaka huu baada ya kufanya hivyo tena kwa maeneo 15 mwaka jana katika eneo kubwa la mpaka kati yake na India lenye mgogoro wa...
6 Reactions
76 Replies
3K Views
LONDON, Aprili 11 (Reuters) - Wizara ya Ulinzi ya Uingereza ilisema Jumanne kwamba kulikuwa na "kiwango kikubwa cha taarifa kutokuwa sahihi" katika uvujaji unaoripotiwa na wengi wa madai ya siri...
1 Reactions
6 Replies
975 Views
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amethibitisha kuachiliwa kwa wafungwa wa kivita kama sehemu ya makubaliano kati ya Ukraine na Urusi. Makubaliano hayo yamefanikisha kiasi cha wanajeshi 200...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Wiki hii imekuwa mbaya sana kwa Marekani na ulimwengo wote wa kielektronik baada ya siri zote za Marekani za karibuni kumwagwa hadharani kwenye mitandao. Mwanzoni Pentagon ilisitasita kukubali...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Mwenye kujua kwa kina chanzo cha mzozo huo usioisha atueleze na kutuelewesha hapa. Binafsi naona mauzauza tu hata sielewi historia ya huu mgogoro maarufu zaidi duniani.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimeamini Israel anaiogopa hezbollah kupita maelezo jana makombora 100 yalifyatuliwa kutokea lebanon kwa Hezbollah badala ya kushambulia Lebanon wameenda kupiga Gaza hii inaonyesha jinsi walivyo...
7 Reactions
26 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa chama cha ENSEMBLE pour la republique cha Moise Katumbi Hapo juzi kwenye mkutano wa chama chao alinukuliwa akisema ikitokea CENI wakikataa candidate ya Moise Katumbi, Jimbo la...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Wadau kuna news 🗞️ inatrend inaonekana Dalai Lama siyo haba Pia soma > https://www.jamiiforums.com/threads/dalai-lama-avuna-aibu-ya-karne.2085138/ --- The Dalai Lama has apologized after a...
-1 Reactions
25 Replies
4K Views
"Sisi sote ni wachina" hayo yalikuwa maneno ya aliyekuwa Rais wa Taiwan Ma Jing-jeou aliyo zungumza wakati wa ziara yake China bara. Rais huyo alisisitiza kwamba, "People on both sides of the...
8 Reactions
97 Replies
5K Views
Mamlaka za Miji ya #Dessie na #Debrebirhan katika eneo la #Amhara imeanzisha amri ya kutoka nje usiku huku maandamano dhidi ya Serikali yakiendelea kuenea. Maandamano yalizuka na kuenea kwa...
0 Reactions
0 Replies
541 Views
Pro-West Slovakia last month became the second country in central and Eastern Europe after Poland to donate fighter jets to Ukraine Slovakian MiG-29 fighter jets given to Ukraine are faulty and...
0 Reactions
1 Replies
599 Views
Urusi imekua ikitumia ardhi yake, ameomba hakikisho kwa Urusi kwamba itamlinda dhidi ya kichapo, mambo yanavyokwenda ni dhahiri Urusi imeshindwa, usupapawa umewaisha, wamekwama kwenye kamji ka...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
TRUMP MBAYA KWA MAREKANI MZURI KWA DUNIA Ni Rais aliyeweka mbele maslai ya marekani, aliyepambana kuipandisha dola kwa nguvu zake zote na kuirudisha heshima ya Marekani iliyokuwa imepotea kwa...
2 Reactions
10 Replies
992 Views
Juzi walisema wameichukua Bakhmut, leo wameibuka na mengine na kusema bado ni mziki mkali na itachukua wiki kadhaa, wamekiri imewagharimu sana, makaburi kama yote.... ===================== Kiev...
6 Reactions
18 Replies
1K Views
Macron amesema ulaya lazima ipunguze utegemezi wake kwa Marekani pia iepuke kuingizwa kwenye mzozo kati ya China na Marekani kuhusu Taiwan, "Ulaya lazima isiingie kwenye makabiliano kati ya...
17 Reactions
33 Replies
3K Views
Rais Macron wa Ufaransa na nchi nyingine za Ulaya zinaogopa atatokea Rais mwingine kama Trump au anaweza kurudi madarakani yeye mwenyewe na akaiweka Ulaya yote katika hatari kubwa na hisani ya US...
7 Reactions
36 Replies
2K Views
Back
Top Bottom