Kongo kuna Maandamano ya Katanga kujitenga na Kongo

Kongo kuna Maandamano ya Katanga kujitenga na Kongo

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,793
Reaction score
5,053
Mwenyekiti wa chama cha ENSEMBLE pour la republique cha Moise Katumbi

Hapo juzi kwenye mkutano wa chama chao alinukuliwa akisema ikitokea CENI wakikataa candidate ya Moise Katumbi, Jimbo la Katanga litajitenga na Congo

Kuanzia jana usiku Lubumbashi kuna maandamano ya vijana wa Katanga kuomba uhuru wao kwenye Serekali ya Congo

Ikumbukwe kuwa asilimia kubwa ya uchumi wa Congo unatokea Katanga

Je unafikiri serekali ya Kongo itakubali kuachia jimbo la Katanga kirahisi hivyo?
 
Hao wanakatanga hawanufaiki na utajiri wa hapo kwao mpaka waombe kujitenga?
kama nao ni wanufaika waache ubinafsi, kujitenga hakutaisha wakianza mambo hayo.
 
Mwenyekiti wa chama cha ENSEMBLE pour la republique cha ( moise katumbi)
Hapo juzi kwenye mkutano wa chama chao alinukuliwa akisema ikitokea CENI wakikataa candidate ya moise katumbi
Jimbo la katanga litajitenga na Kongo
Kuanzia jana usiku lubumbashi kuna maandamano ya vijana wa Katanga kuomba uhuru wao kwenye serekali ya Kongo

Ikumbukwe kuwa asilimia kubwa ya uchumi wa Kongo unatokea katanga

Je unafikiri serekali ya Kongo itakubali kuachia jimbo la katanga kirahisi ivyo?
bora achukue moise kabla kagame hajalibeba. manake ndio kiu ya kagame siku zote.
 
Mwenyekiti wa chama cha ENSEMBLE pour la republique cha ( moise katumbi)
Hapo juzi kwenye mkutano wa chama chao alinukuliwa akisema ikitokea CENI wakikataa candidate ya moise katumbi
Jimbo la katanga litajitenga na Kongo
Kuanzia jana usiku lubumbashi kuna maandamano ya vijana wa Katanga kuomba uhuru wao kwenye serekali ya Kongo

Ikumbukwe kuwa asilimia kubwa ya uchumi wa Kongo unatokea katanga

Je unafikiri serekali ya Kongo itakubali kuachia jimbo la katanga kirahisi ivyo?
Na wewe stori zako kuhusu hasa Mkoa wa Katanga huko DRC ni wishful thinking, mara useme sijui Katumbi ndiye rais balabala wa kuingoza Congo na si Tshekedi, mara useme sijui wenyeji wa wa mkoa wa Katanga wanabaguliwa - sasa unakuja na habari mpya eti Katanga ijitenge na utawala wa Kongo Kinshasa na kuwa huru.

Kauli zako za muda mrefu zilisha ashilia kwamba unapenda sana vurugu zenu za akina: Tshombe, Kasavubu sijui na Bomboka zijirudie tena - yaani hamna habari kwamba maadui wenu wanao mezea mate utajiri wenu mkubwa wa madini watatumia mwanya huo kuwagawa na kuvuruga Taifa lenu kwa mara nyingine tena, lakini this time around vurugu zitakuwa mbaya zaidi ya miaka ya 1960s' muda si mrefu mtasikia Kivu ya Kaskazini na Kusini nazo zinataka kujitenga na utawala wa Tshekedi na kuungana na Taifa jirani, ni suala la muda tu.
 
Back
Top Bottom