Ethiopia: Mamlaka zaweka zuio la kutoka nje usiku kudhibiti maandamano

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,024
1,618
Mamlaka za Miji ya #Dessie na #Debrebirhan katika eneo la #Amhara imeanzisha amri ya kutoka nje usiku huku maandamano dhidi ya Serikali yakiendelea kuenea.

Maandamano yalizuka na kuenea kwa haraka wiki iliyopita baada ya agizo la Serikali ya shirikisho la kuvunja Kitengo cha Wanajeshi, Kikosi Maalum cha Amhara (ASF)

Mamlaka zinasema hatua hiyo itasaidia kuunda kikosi thabiti cha usalama lakini wapinzani huko wanasema hatua hiyo itaacha eneo hilo katika hatari ya kushambuliwa na majirani zake

..........

Ethiopia imposes curfew to quell protests in Amhara.

The authorities in two cities in Ethiopia’s Amhara region have introduced night-time curfews as anti-government protests continue to spread across the region.

Dessie and Debrebirhan cities followed another city, the historic Gondar, in putting the restrictions. Both cities witnessed mass rallies on Monday.

Holding demonstrations without permits and carrying of weapons by civilians was already banned.

Protests broke out and quickly spread last week in response to an order from the federal government to dissolve a paramilitary unit, the Amhara Special Forces (ASF).

The authorities say the move will help create a strong unified security force and is being implemented in all of Ethiopia’s 11 regions.

But opponents in Amhara say the move will leave the region vulnerable to attacks from its neighbours.

Debrebirhan, located 130km north of the capital, Addis Ababa, has further prohibited tens of thousands of displaced people, who have fled violence in neighbouring Oromia region and are sheltered in the city, from moving out of their camps.

Chanzo: BBC
 
Back
Top Bottom