Marekani adukua tena

HIMARS

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
69,373
94,566
Kwa mara nyingine Marekani imekamatwa ikidukua Nchi rafiki na viongozi wa nchi hizo

Uvujaji wa Siri siku za hivi karibuni umefichua umbali ambao Marekani imeenda kupata taarifa hadi milangoni mwa maadui na marafiki.

UAE
Imejikuta taarifa zake kuhusu kujitenga na US, UK zikianikwa hadharani

South Korea
Taarifa zinadai kuwa mazungumzo kati ya Rais na washauri wake walikuwa hawaelewani

Israel
Taarifa zinadai kuwa Mossad na MoD walishauriana kuandaa maandamano ili kupinga Mswada wa Sheria ambao ungeipa Serikali nguvu juu ya Mahakama

Egypt
Taarifa zinadai Egypt kwa Kisiri alikubali kutengeneza makombora 40,000 na kuyatuma Russia kisiri

Russia
Taarifa zinadai kuwa Marekani ina watu ndani ya Wagner na MoD ya Russia hivyo inakuwa rahisi kwa Marekani kujua kila sehemu Wagner waendapo ndo maana wamekuwa wakitoa taarifa na mashambulizi kufanyika, itakumbukwa mara kadhaa Mkuu wa Wagner amekoswa koswa na mashambulizi.
Kushindwa kwa jeshi la Russia pale Vuhledar ni kidhihirisho kuwa Marekani alijua kabla na kuwapa taarifa Ukraine

Ukraine
Maongezi kati ya Rais wa Ukraine na MoD na viongozi wengine yamevuja, hii yaonesha Marekani inawafatilia Ukraine ili kujua kila kinachoendelea ndani ya ikulu hiyo

Serikali zote zimekana kuhusu hayo

Pentagon yadai kuwa kuvuja kwa siri hizo kutahatarisha usalama kwa waliokuwa wakitoa taarifa kwenda Marekani.

Ukraine yabadilisha mbinu za mashambulizi.
 
Watu wameanza kutafufa sababu... Hali ngumu...... Mazingira yakutengeneza umandonga, nikishinda kama nimeshinda, nikipigwa kama nimeshinda
_20230411_213726.JPG
 
Attachments

  • _20230411_213726.JPG
    _20230411_213726.JPG
    119.4 KB · Views: 5
Taarifa zinadai kuwa Marekani ina watu ndani ya Wagner na MoD ya Russia hivyo inakuwa rahisi kwa Marekani kujua kila sehemu Wagner waendapo ndo maana wamekuwa
Wagner group ni mercenary sote tunafahamu,, na kawaida ya mercenary anaweza akatoka Brooklyn New York au Mburahati kwa jongo,, so sio kitu cha ajabu kwa wagner kuwa na raia wa marekani, kwani si wamarekani wote wanaokubali kinachofanywa na serikali yao alafu pia wapo kazini,, na hiyo vita haipiganwi marekani... kwa hiyo hapo hakuna cha ajabu wala siri,, na suala la Wagner kujua wapo wapi hii vita sio ya kuviziana kiasi kwamba usijue mwenzio alipo mpaka mtu atoe siri,, hii vita hata mie Nyonzo bin mvule japo nipo tandale kwa mkunduge lakini najua Wagner wapo bakhmut,,,, ninachokiona mimi hapa ni huyu mmarekani anajaribu kutuzuga kwa kufuta aibu ya juzi kudukuliwa taarifa zake.
 
Intelligence haina siasa wala urafiki...

CIA wanafuatilia mpaka mawasaliano ya Rais wa Marekani mwenyewe...

Ndo inavyopaswa kuwa, ukianza ku assume kila kitu, na kuchukulia poa, ndo huwa kunajitokeza room for errors
 
Nimeipenda zaidi hiyo taarifa ya Israel ya Mossad.

Back
Top Bottom