njia_ya_msalaba
Member
- May 27, 2022
- 14
- 77
TRUMP MBAYA KWA MAREKANI MZURI KWA DUNIA
Ni Rais aliyeweka mbele maslai ya marekani, aliyepambana kuipandisha dola kwa nguvu zake zote na kuirudisha heshima ya Marekani iliyokuwa imepotea kwa miaka mingi, siyo tu kiuchumi bali kijeshi na na kuipa heshima duniani. Watu wote wanaojua siasa za kiulimwengu watakubaliana na mimi kuwa ustaarabu hasa wa kijinsia ulikuwa mwingi kipindi cha Trumpa yaan mashoga walikuwa hawako wazi hasa huku Africa
Siyo watu wengi wanajua kuwa wakati Obama anaachia ngazi Uchina alkuwa ameshampiga USA for some dots kwenye uchumi ni wakati ambao dolla ilikuwa ICU
Sera za Trump za kuikunguta parasites wanaoitegemea USA hazikuwa nzuri kwa mataifa mengi ulimwenguni hasa Ulaya na Africa
Trump alitaka kuifanya Dunia ipambane kibiashara na siyo kibabe ni wakati wake pekee hukuwai kusikia USA imevamia nchi fulani kijeshi wala kuingilia masuala ya ndani, wakati wa Trump haukuwa wakati wa kulazimisha sera za marekani kupenya kila nchi kwa njia za kilaghai kama ilivyokuwa bla yake na baada yake. kwa wasiojua sababu kubwa ya watu wengi Duniani kumchukia Trump ni hii kwamba hakusuport sera za kishetani zilizo ndani ya Marekani, wakati wake ushoga na ufreemason ulipata taabu sana
Kwa kumalizia nkuhakikishie kuwa Mwamba angekuwa Raisi hii awamu hichi inachoitwa vita ya Ukraine na Russia kisingetokea ata tone, kwa lugha nyingine Russia asingevamia Ukraine kwa kuwa Ukraine isingekuwa na kiburi ilichokuwa nacho wala isingekaa ipate nafasi ya kuahidiwa kuingia NATO
Mashoga wengi watapinga