There are lots of concepts which people use without knowing what they actually mean and entail.Some of the concepts have actually evil agenda,so when you use them,you are helping to advance the...
Wazee wa "death to America" tazameni hii picha kisha mjiulize dua zenu huwa zinakwama wapi.
Ni taifa lililobarikiwa sana na lenye nguvu nyingi, nahisi mojawapo wa sababu kubwa ni kwa vile...
Waziri wa Habari, Lai Mohammed anasema Rais mteule Bola Tinubu ataapishwa tarehe 29 Mei licha ya kesi Mahakamani kupinga ushindi wake
Wagombea Wanne wa Urais waliwasilisha mapingamizi ya kisheria...
Aliyehusika kuanzisha shambulizi la risasi ni Connor Sturgeon (25) aliyekuwa mfanyakazi wa Benki husika ambaye siku chache zilizopita alijulishwa kuwa atafukuzwa kazi.
Mtuhumiwa ambaye naye...
Donald Trump atakapoapishwa,akishusha tu mkono walinzi wote wa Ikulu wataachishwa kazi ya kumlinda.
Donald Trump anakuja na walinzi wake,among them 1000 Russians or russian- trained private...
Urusi inakabiliwa na upungufu mkubwa wa wafanyakazi nchini humo hali inayoongeza hali mbaya katika uchumi na kuufanya kususua zaidi tangu uvamizi wake uanze huko Ukraine. Hii ni fursa kwa...
Kuna nchi za hovyo hapa duniani...huko Myanmar jeshi la anga limewamiminia mabomu raia wakiwa kwenye mkutano wa hadhara na kuua raia 100 papo hapo
Huu ni ukatili uliopitiliza wananchi walikua...
Mmiliki wa Twitter, Elon Musk amesema licha ya kuwa hatumii mtandao huo lakini hakubaliani na mipango inayodaiwa kuwa mbioni kuufungia mtandao huo Nchini Marekani kutokana na sababu za zinazodaiwa...
Ifuatayo ni orodha ya nchi 20 zinazoongoza kwa uzalishaji wa gesi asilia duniani, Tanzania gesi yetu ni cha mtoto.
1. Marekani
2. Russia
3. Iran
4. China
5. Canada nk. Endelea kusoma hapa chini...
Korea Kaskazini imerusha kombora lake ambalo linaelezwa limefika katika êneo la bahari karibu na Japan, na kuzua wasiwasi wa kiusalama wa kikanda.
Msemaji wa Baraza la Usalama, Adrienne Watson...
In a bid to end US hegemony and bullying,top Arab leaders including Saudis and Iranians are meeting in China to plot ‘end’ of American global dominance.While nations are now openly challenging US...
Serikali ya Marekani pamoja na wizara ya Ulinzi na makao makuu ya kijeshi Pentagon bado wapo na kitendawili cha kutegua mtu alievujisha taarifa za siri za kijeshi kuhusu vita ya Ukraine.
Hadi...
TCG Anatolia, melivita mpya ya Mturuki yenye uwezo wa kubeba helicopter nk imezinduliwa na mbabe wa kivita Erdogan na ameahidi inakwenda kuwapa ufalme wa Black Sea muda si mrefu.
Kwa wenye...
Rais Lazarus Chakwera ametangaza idadi ya watu waliofariki kutokana na Kimbunga #Freddy nchini #Malawi imeongezeka na kufikia zaidi ya watu 1,000.
Hakutoa maelezo ni kwa nini idadi ya vifo...
Katika siku za hivi karibuni viongozi wa nchi za magharibi wamekuwa wakifanya ziara kadhaa nchini China, wakitafuta njia mbalimbali za kuhimiza ushirikiano kati ya nchi zao na China. Mwishoni mwa...
Baada ya kupost kwamba data za siri juu ya vita ya Ukraine kuna "wamarekani wa chato" walisema zimetengenezwa na Urusi. Sasa USA orijino wenyewe wamekiri data zimevuja!
NB: Lazima tujue Urusi sio...
Katika kile kinachoonekana kama kuchoshwa na vitendo vya serikali ya Israel, Rais Erdogan ametoa onyo kali kwa israeli na kuwataka kutokuvuka red line wanapokuwa wanapamabana na wapigania Uhuru wa...
[emoji1134][emoji1193][emoji845]Pictures of the k!lled IDF soldiers in yesterday's shooting operation by Palestinian Armed group.
Nimeangalia hii picha nikajisikia vibaya sana even kusikitika...
Mongolia is a country that is not exactly at the heart of any kind of conflict.
If you have heard of country, then it is probably from a book on history. If we go back, a couple of centuries we...
Tusipoteze wakati,
Ukiwaambiwa watu raisi anakutana na USA, watu watalalamila USA wanaleta ushoga, Ukiwaambia tumesaini mkataba na umoja wa Ulaya watasema masuala ya ushoga, ukiwaambia naenda USA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.