International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Serikali ya Ufaransa imetangaza kurudisha dola milioni 150 [TZS bilioni 371.6] mali iliyoibwa kutoka kwa Wanigeria na aliyekuwa kiongozi wa zamani wa nchi hiyo, Hayati Jenerali Sani Abacha pamoja...
4 Reactions
9 Replies
588 Views
U.S. House Approves Resolution on Iran: "All means necessary" will be used to prevent Nuclear Armed Iran 02 NOVEMBER 2023 The U.S. House of Representatives passed a Resolution late last night...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Tangu karne ya kumi na tisa, Palestina imeshuhudia idadi ndogo ya wahamiaji wa Kiyahudi, lakini waliongezeka mwishoni mwa karne ya kumi na tisa na mwanzoni mwa karne ya ishirini kwa kuanzishwa kwa...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Wacha inyeshe, Wizara ya nje ya Iran imetuma salamu UN kuwa kitendo cha Israel kuingia kwa miguu Gaza na kuendelea na Oparesheni yake na wao wataingilia kati. Japo hawakusema wataingilia kati...
1 Reactions
56 Replies
4K Views
Kama kawaida HAMAS baada ya kushambulia Israel, walikwenda kujificha ndani ya akina mama na watoto, sasa huyu mkuu wao aliingia na kutulia ndani ya wakimbizi, Israel walifyatua tu humo humo na...
12 Reactions
144 Replies
8K Views
Waliosema jicho ni mlango wa nafsi hawakukosea kabisa. Sasa kwa kumuangalia tu macho na nyuso zake Blinken unaweza kuliona hili. It seems mauaji yanayoendelea kufanywa na Israel yanayoungwa...
0 Reactions
9 Replies
872 Views
Hawa akina Urusi, Korea, China na nchi zote za kiarabu wao pamoja na Waislam wanataka Israeli yeye akubali kipigo kutoka kwa Hamas pamoja na nchi zingine za kiarabu. Hivi hizi kombora ambazo...
7 Reactions
40 Replies
2K Views
Nchi ya Kenya kupitia raisi wake Ruto imekua ni nchi ya kwanza mwaka huu 2023 kutangaza kuondoa utaratibu wa Visa kwa raia wote wa Africa kuingia Kenya hadi ifikapo 2024. Ikumbukwe kua Ruto...
9 Reactions
28 Replies
2K Views
Hii imekuja baada ya mjadala huko twitter kua kutokana na Serikali ya Tshekedi kuonesha kupambana na majeshi ya rwanda DRC …Tshekedi amekua ndio rais anaeogopwa kabisa na Kagame na anafanya juuu...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
[emoji599][emoji599][emoji599][emoji599][emoji599][emoji599][emoji599][emoji599][emoji599][emoji599][emoji599][emoji599]Magari zaidi ya 22 ya Wanamgambo wa Israel yamelipuliwa na Wanamgambo Hao...
6 Reactions
144 Replies
11K Views
Hakuna taifa ambalo Mungu alilipenda kama taifa la Israeli lakini walimuasi Mungu ndo maana majango yote ambayo yanawapata leo ni kutokana na Mauvo yao wakristo tunasimama na Israeli tu bure...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Kwa historia ya Israel na jinsi historia ilivyo, taifa lolote linalotaka ugomvi na Israel halikuwahi kushinda, badala yake waliangukia pua, leo hii Hamas wamechokoza wenyewe, lakini mpaka sasa...
0 Reactions
24 Replies
1K Views
Kwasasa Urusi ndo nchi namba moja kwa nguvu za kijeshi ikifuatiwa na Marekani kulingana na takwimu za kijeshi BREAKING: Russia has moved to the top of the list of the world's strongest armies...
8 Reactions
60 Replies
4K Views
Wabunge hao wamesema Bunge haliwezi kuidhinisha kiasi hicho cha Fedha kwasababu ni matumizi mbaya ya Kodi za Wananchi hasa kwa kipindi ambacho Nchi inakabiliwa na mdororo mkubwa wa Uchumi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hali mbaya waliyonayo wapalestina wa maeneo yote hakukuwa na haja ya matumizi ya diplomasia na ahadi za mazungumzo.Ilikuwa ni kuchukua maamuzi sambamba na ukatili unaofanywa na serikali ya Israel...
5 Reactions
53 Replies
3K Views
Tayari bunge la Algeria limempa Rais mamlaka ya kutangaza vita na utawala wa bandia wa Israel. Sasa hali sio hali tena Libya walisema watatuma silaha kwa Hamas ikiwezekana, Yemen nao wamo, Iraq...
10 Reactions
44 Replies
5K Views
Marekani inajiandaa kuishambulia Iran wakati wowote kutokea sasa Kuna taarifa zinaenea sana, na ni kutoka kwa watu nyeti wa Washington kuwa Marekani inajiandaa kuishambulia Iran kijeshi muda...
12 Reactions
33 Replies
2K Views
01 November 2023 Lusaka, Zambia RAIS MSTAAFU APOTEZA HAKI YA MARUPURUPU KWA KUJIHUSISHA NA SIASA Picha: Rais mstaafu Edgar Lungu wa Zambia Rais mstaafu marupurupu yake ni pamoja walinzi 3...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
https://twitter.com/africaupdates/status/1717567065975054762?t=7EzYVKNQv0ied1s1baqUdQ&s=19 Kila Mwaka wanakusanyika kama watu wasiojielewa ambao huenda kupiga picha na kula starehe Kwa Kodi za...
0 Reactions
4 Replies
595 Views
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imejibu jinai zinazoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza kwa kushambulia ngome za jeshi la...
9 Reactions
40 Replies
3K Views
Back
Top Bottom