Tetesi: Marekani inajiandaa kuishambulia Iran wakati wowote kutokea sasa

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,000
17,909
Marekani inajiandaa kuishambulia Iran wakati wowote kutokea sasa

Kuna taarifa zinaenea sana, na ni kutoka kwa watu nyeti wa Washington kuwa Marekani inajiandaa kuishambulia Iran kijeshi muda wowote kutokea sasa

Marekani imepeleka maelfu ya silaha na wanajeshi wengi wameanza kuandaliwa huku meli za kivita za Marekani zikiwa tayari kwa mashambulizi

Haya yanajiri huku Korea ya kaskazini ikitangaza kuwa itawapa Iran, Hamas na wapiganaji wote wanaoipinga US na Israel mashariki ya kati kwa silaha za kutosha

Marekani inaufahamu uwezo wa Iran ni mkubwa kupita maelezo Iran hamiliki silaha za kawaida pekee bali inasemekana kuwa Iran anazo silaha za maangamizi na kemikali matani kwa matani ila kwa siri sana

Pia inawezekana kabisa kuwa Iran ana silaha za Nyuklia ndo hivyo tu anatuzuga!!

Ngoja tuone kama hizi tetesi kama zitakua ni za kweli
 
1698946787410.png
 
Yaleyale ya kondoo na mwana kondoo walipoambiwa na mbwamwitu wamechafua maji la mto anayokunywa mbwamwitu wakati kondoo wanaishi bondeni yanakoelekea maji baada ya kupita alipo mbwamwitu anayeishi mlimani yanakotoka maji
 
Marekani inajiandaa kuishambulia Iran wakati wowote kutokea sasa

Kuna taarifa zinaenea sana, na ni kutoka kwa watu nyeti wa Washington kuwa Marekani inajiandaa kuishambulia Iran kijeshi muda wowote kutokea...
Inawezekana kwa sababu israel anamuogopa sana iran kuliko nchi yoyote middle east, amekuwa akiupinga mkataba wa nyuklia wa iran na kwa middle east iran ndio nchi threat kwa israel, they are fucking smart and israel know that , they will do anything to weaken them
 
Marekani inajiandaa kuishambulia Iran wakati wowote kutokea sasa

Kuna taarifa zinaenea sana, na ni kutoka kwa watu nyeti wa Washington kuwa Marekani inajiandaa kuishambulia...
Ustaadh KIMSBOY hebu tupe na zile tetesi kwamba ukijivika mabomo ukajilipua UNAPATA VIZA YA AHERA MOJA KWA MOJA NA UNAKUTA NYUMBA YA KIFAHARI
 
Back
Top Bottom