kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,793
- 5,053
Hakuna taifa ambalo Mungu alilipenda kama taifa la Israeli lakini walimuasi Mungu ndo maana majango yote ambayo yanawapata leo ni kutokana na Mauvo yao wakristo tunasimama na Israeli tu bure lakini Hawa ndo watesi wetu wakubwa kabisa hawapendi kusikia neno ukristo masikioni mwao
Ezekieli 6
11 Bwana Mwenyezi-Mungu aliniambia hivi: “Piga makofi, piga kishindo kwa mguu na kusema: Ole wenu Waisraeli kwa sababu ya machukizo yenu yote, kwani mtakufa kwa upanga, njaa na kwa maradhi mabaya.
12 Aliye mbali sana atakufa kwa maradhi mabaya. Aliye karibu atauawa kwa upanga.
Atakayekuwa amebaki na kunusurika hayo mawili atakufa kwa njaa. Ndivyo nitakavyotimiza ghadhabu yangu dhidi yao.
13 Maiti zao zitatapakaa kati ya sanamu zao za miungu na madhabahu zao, juu ya kila mlima, chini ya kila mti mbichi, chini ya kila mwaloni wenye majani na kila mahali walipotolea tambiko zao za harufu nzuri ya kuzipendeza sanamu zao za miungu. Hapo ndipo watakapotambua kuwa mimi ni Mwenyezi-Mungu.
14 Nitaunyosha mkono wangu dhidi yao, na kuiharibu nchi yao. Tangu huko jangwani kusini mpaka mjini Ribla kaskazini, nitaifanya nchi yao kuwa mahame kabisa wasipate mahali pa kuishi.
Hapo ndipo wote watakapotambua kuwa mimi ni Mwenyezi-Mungu.”