International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Kambi yaJabaliya ambayo ipo kaskazini ya Gaza ni moja ya eneo lenye msongamano mkubwa zaidi katika Gaza na mitaa yake si rahisi kupita hata gari.Kambi hiyo ni matokeo ya kufukuzwa wapalestina...
1 Reactions
33 Replies
2K Views
■AHADI Mungu alimbariki mzaliwa wa Ibrahim, Isaac, ambaye ndie mtoto halisi wa familia ya Ibrahim na Sarah iliotambulika kama ndio familia asilia ya agano la nchi ya ahadi dhidi ya mzaliwa wake wa...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Rais Joe Biden amesema Nchi hizo zitaondolewa katika Mpango wa Ukuaji na Fursa Afrika (AGOA) ulioanzishwa mwaka 2000 kutokana na ukiukwaji mkubwa wa Haki za Binadamu pamoja na Kutopiga Hatua za...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakati USA na washirika wake wakiwa bize na kuhangaika na vita za Gaza na Ukraine, China inaendelea kupanua wigo wa kibiashara na kidiplomasia kupitia mpango wake aliouanzisha wa BRI (belt and...
4 Reactions
3 Replies
799 Views
Mwanafunzi wa shule ya sekondari ya Mauritania amekamatwa kwa kuandika karatasi ya mtihani akimtusi Mtume Muhammad katika mitihani ya mwezi uliopita. Vyombo vya habari vya ndani vimeripoti kuwa...
18 Reactions
251 Replies
13K Views
Nov 01, 2023 12:18 UTC Eneo la Wapalestina la Ghaza limegeuka kuwa makaburi kwa watoto kwani maelfu wameuawa kufuatia mashambulizi yanayofanywa na utawala haramu wa Israel, huku zaidi ya watoto...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Tanguj vita vianze baina ya Ukraine na Urusi kumekuwepo na lawama kutoka Ukraine kuwa kutofanikiwa kwa zoezi la kurudisha mapigo ya Urusi kikamilifu ni kutokana na kutopatiwa silaha muhimu...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
IMPORTANT: The RETURN of WAGNER GROUP [emoji635][emoji2526] Many did not believe it was possible. Those of us who stood loyal to the idea and reality of WAGNER have been vindicated: • Wagner...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Wakati hali ya kiusalama ikiendelea kuzorota Mashariki ya Kati, Wanajeshi wa Urusi wapatao elfu moja wamewasili leo hii nchini Syria ili kuimarisha usalama nchini humo. Hivi Karibuni Israel...
10 Reactions
62 Replies
5K Views
Nimemsikia Netanyahu akisema Hamas wanacheza propaganda za saikolojia Wanachosahau Hamas ni Ukweli kuwa Myahudi ni KATILI mara 100 ya Mwarabu Niishie hapo Mlale Unono
14 Reactions
96 Replies
5K Views
Habari Jf, Leo katika pita pita zangu mitandaoni nmekutana na video moja mpaka nikashanga maana sikuwa kujua vitu vyote hivi kabla. Naona watu wanaanza kuweka wazi ukweli wao. Mda ni muhimu...
1 Reactions
3 Replies
909 Views
Jameni tusisahau Urusi bado inapokea kichapo.... Ukraine destroyed six Russian Su-25 fighter jets in the Tavriya sector of the front in October, the Tavriya Defense Forces’ spokesman, Colonel...
0 Reactions
6 Replies
989 Views
Raisi wa Ufaransa Bwana Emmanuel Macron amesarifi kuelekea cnhini Kazakhstan kwa ziara ya siku mbili ambapo alitoka huko ataelekea nchini Uzbekistan. Akiwa nchini Kazakhstan, Macron anatarajia...
5 Reactions
35 Replies
2K Views
Baada ya kufatilia kwa utulivu issue ya migogoro isiyoisha kati ga Palestina na Israel, nimejilidhusha pasi na shakha kuwa Umoja wa Maitafa chini ya azimio lake la mwaka 1947 la kuigawa Palestina...
1 Reactions
0 Replies
829 Views
Ukiamua kusababisha wenzako wasiishi kwa amani, na wewe pia tegemea familia yako iishi kwa tabu.... Ramallah, Palestinian Territories: Israeli troops on Saturday raided the West Bank home of a...
13 Reactions
160 Replies
11K Views
Kazakhstan, nchi ambayo 70% ya raia wake ni waislam, imepiga marufuku hijab mashuleni kwa walimu na wanafunzi nchini humo. Raia Tokayev wa nchi hiyo alinukuliwa akisema ''Kazakhstan ni nchi isiyo...
20 Reactions
107 Replies
5K Views
Jamaa wameamua badala ya kuhubiri amani, ni mwendo wa kuchinja tu. ======= Beni. Rebels backed by the Islamic State group have killed two Ugandan soldiers in an attack that also left two...
3 Reactions
43 Replies
3K Views
Watu wengi wanajiuliza kwanini nchi za kikristo zinatetea Israel wakati Israel ni wayahudi na Wayahudi ni wapinga Kristo. Kabla ya vita ya dunia ya pili wayahudi walikuwa wametapakaa duniani na...
6 Reactions
42 Replies
2K Views
Kwenye vita Askari wanaruhusiwa kutekana nyara lakini Askari wa pande zote xinaxopigana hawaruhusiwi kuteka raia wa kawaida na kuwafanya mateka wa kivita. Hamas kuteka Raia wakiwemo watanzania...
5 Reactions
10 Replies
781 Views
Back
Top Bottom