SNAP J
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 7,117
- 8,096
Waliosema jicho ni mlango wa nafsi hawakukosea kabisa.
Sasa kwa kumuangalia tu macho na nyuso zake Blinken unaweza kuliona hili.
It seems mauaji yanayoendelea kufanywa na Israel yanayoungwa mkono na US dhidi ya raia wa-Palestina wasio na hatia ,haswa wanawawake na watoto yanamnyima usingizi kabisa waziri huyo wa mambo ya nje wa Marekani.
Naona anatamani hata kujiuzulu nyadhifa yake lakini anaogopa. Anatamani kuiamrisha Israel kuacha mapigano lakini hawezi . Ninahisi hata uenda Anatamani kuondoka ulimwenguni. .
Huyu jamaa Inabidi aangaliwe kwa ukaribu Sana maana akiachwa mwenyewe anaweza akajitundika kama sio kuchizika.
Ogopa sana kumwaga damu ya mtu, na haswa damu isiyo na hatia au isiyo na dhambi kama ya watoto wadogo.