Baada ya Ruto kutangaza Visa Free 2024 Kagame nae kaona asichelewe kusafisha nyota?

Mr Chromium

JF-Expert Member
Aug 20, 2020
2,088
2,705
Nchi ya Kenya kupitia raisi wake Ruto imekua ni nchi ya kwanza mwaka huu 2023 kutangaza kuondoa utaratibu wa Visa kwa raia wote wa Africa kuingia Kenya hadi ifikapo 2024.

Ikumbukwe kua Ruto amekua akitrend kwene platform na media mbalimbali za Africa huku akionekana kama Africa Hero kama Alivokua Rais Magufuri….(Nje ya tanzania)

Bila kupoteza Muda PK ameona nayeye atumie fursa kusafisha CV yake
IMG_0893.jpg





NB: HONGERA RAIS WA KENYA RUTO
 
Kwa usalama wetu na tumezungukw magaidi wanaitaka ssna Tanzania......tusubiri sanaaa kuamua hilo...badooooo

Visa free kwa utalii haina uhusiano na uraia

Sema mifumo mibovu ya uhamiaji watakuja kama watalii afu watachukua uraia
 
Visa free kwa utalii haina uhusiano na uraia

Sema mifumo mibovu ya uhamiaji watakuja kama watalii afu watachukua uraia
Nenda ilala kariakoo magorofa mule kuna wasomali wanakaa miaka 5.....wanajua kiswahili then wanatoka kuomba uraia......kuna nigerians kibaoooo wa Congoman....ni hatari sanaa......acha wahindi na waarabu....comoros pia wengiiiii
 
Back
Top Bottom