Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,760
- 3,858
Hii imekuja baada ya mjadala huko twitter kua kutokana na Serikali ya Tshekedi kuonesha kupambana na majeshi ya rwanda DRC …Tshekedi amekua ndio rais anaeogopwa kabisa na Kagame na anafanya juuu chini kusupport wapinzani ili asipite kwene uchaguzi!
Inasemekana
Raisi wa mwanzo Joseph Kabila alikua anapatana na hawa wahima kwa sababu alikua anamlipa kisiri siri PK ili asiishambulie DRC ikumbukwe huyu alishaiona historia ya hawa jamaa walipoenda kuvamia DRC
Sasa Tshekedi hataki mambo ya kuzunguka zunguka ameamua kupambana nao na anatishia masilahi na kashaharibu mipango mingi sana ya Mr slim huko CONGO.
Kama atashinda uchaguzi bas itakua ndo Worst nightmare ya Rwanda
Source: Jamuhuri ya watu wa Twitter