International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Russia baada ya kuona Wafungwa wa vita wa Ukraine wananenepa kwa kula ugali wa bure na vidali wameamua kuwapeleka mstari wa mbele wapigane na Jeshi lao la zamani Ukraine.. Russia Ukrainian PoWs...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Inaonekana kama kuna ushabiki kwenye hili suala,ila kinachoendelea huko ni balaa. Tatizo hili linatupa funzo gani? Issue kama hii inaendelea pia Darfur,tujifunze kuwa watu haki,upendo, amani na...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (SEPAH) amesema kuwa, hii leo Gaza imekuwa uwanja wa kuzikia Marekani na utawala wa Kizayuni, na utawala naoikalii kwa mabavu Quds...
1 Reactions
6 Replies
894 Views
Mataifa kama vile Misri, Brazil n.k. yaliyokua yameuziwa silaha na Urusi, yameombwa yazirejeshe maana Urusi imeishiwa na ina shida nazo, inazitaka hizo silaha jameni. Unamuuzia mtu sime au upanga...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Wakuu katika nchi, Kuna hii issue ya HAMAS, na ugaidi duniani kote kupitia kwa vikundi mbalimbali, Kwa juu inaonekana hii issue chanzo chake ni dini ya uislam na waislam wanapenda hizo mambo...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Ndiyo hivyo wakuu, kwa mujibu wa DW kanisa limefungua milango kwa ushoga,Kama alivyoshauri Papa juzi hapa --- ==== Mkutano wa Sinodi - ambao unalenga katika mageuzi ya Kanisa - uliidhinisha hati...
6 Reactions
297 Replies
19K Views
COMMISSION TO EXPOSE EVIL So do not be afraid of them, for there is nothing concealed that will not be disclosed or hidden that will not be made known. What I tell you in the dark, speak in the...
5 Reactions
38 Replies
2K Views
Wanaukumbi. Ukiristo hauna nafasi nchini Israeli, hatua kali kuchukuliwa kwa wale wote watakaosambaza maudhui yanayomtaja Yesu Kristo nchini Israel ni marufuku. Sikiliza vizuri yaliyomo kwenye...
17 Reactions
247 Replies
11K Views
Kiongozi wa Hamas, Mousa Abu Marzouk amesema amesema kuwa ilikuwa ni vigumu kuachiliwa mateka wanaowashikiria wakati Israel ikiishambulia Gaza kwa mabomu. Kiongozi huyo wa Hamas ameyasema hayo...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Ubalozi wa Uingereza umetoa angalizo la kiusalama kuwa kuna uwezekano wa kutokea kwa shambulio la ugaidi Nchini Uganda, huku raia wa kigeni wakiwa walengwa, ikiwa ni Saa chache baada ya Ubalozi wa...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Alfajiri na mapema kwa saa za Kenya, wakulima wa maua nchini humo walichuma waridi katika mashamba yao yaliyoko Naivaisha. Kutokana na ndege za moja kwa moja kati ya Kenya na China na njia maalumu...
0 Reactions
0 Replies
503 Views
BREAKING: [emoji1188][emoji1130][emoji1193] North Korea will start arming Palestine and Iran-backed resistance axis militias - Wall Street Journal According to a report by the WSJ, the National...
7 Reactions
96 Replies
7K Views
Mzuka wanajamvi! Hulka ya mtu mweusi ni kujipendekeza na kiherehere. Cheki wenzake wengine waarabu hawajabeba majeruhi lakini nigga pekee yake kajitwisha mzigo. Hii video hapo chini ni tarehe...
5 Reactions
43 Replies
5K Views
Kampuni hiyo imetangaza kuwa iko tayari kuanza majaribio lakini imekosa Watu ambao watawekewa kifaa maalumu ambacho kina uwezo kuamsha tena Viungo au Uwezo wa Binadamu kufanya kazi ikiwemo...
7 Reactions
43 Replies
6K Views
Nimeiona kuanzia jana Wapalestina wanatembea na bendera nyeupe. Najaribu kujiuliza hiyo bendera nyeupe Ina maana gani?. Mwenye kujua anisaidie
2 Reactions
3 Replies
796 Views
Majasusi watatu wa Mosad wamekamatwa kama panya na wanaintelijensia wa Iran na Taliban katika operesheni maalum ya kuimarisha ulizni baina ya mataifa hato katika milima iliyo mpakani mwa Iran na...
8 Reactions
30 Replies
2K Views
ISRAEL/GAZA: ZAIDI YA WATadi hiyo inajumuisha vifo takriban 350 vya Raia wa Israel na Wapalestina zaidi 230 ambao wametajwa kupoteza maisha kufuatia majibizano ya Mashambulizi kati ya Kundi la...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Rais wa Uganda Yoweri Museveni hajaonesha wasiwasi kuhusu kuondolewa kwa nchi yake katika mpango maalum wa kibiashara wa Marekani na Afrika,AGOA. Wiki iliyopita, Rais wa Marekani Joe Biden...
8 Reactions
45 Replies
3K Views
Maelezo ya picha, Naibu Mkuu wa Hezbollah, Sheikh Naim Qassem, ameiambia BBC hatari ya mzozo wa kikanda ni ya kweli wakati huu vita vya Israel-Hamas vikiendelea Saa 2 zilizopita Kamanda wa pili...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Ninawasiwasi na baadhi yetu waswahili kuwa tunawajua juu juu tu, hawa Wayahudi, tuna lopoka tu hata tusijue hao Mayahudi ni kina nani haswa Nilitarajia Urusi, Irani, Korea na hata China waingilie...
6 Reactions
102 Replies
6K Views
Back
Top Bottom