Hezbollah yaonya vita vya kikanda ikiwa mashambulizi Gaza yataendelea

Malaria 2

JF-Expert Member
Oct 17, 2023
2,648
3,938

sdx

Maelezo ya picha,
Naibu Mkuu wa Hezbollah, Sheikh Naim Qassem, ameiambia BBC hatari ya mzozo wa kikanda ni ya kweli wakati huu vita vya Israel-Hamas vikiendelea

Saa 2 zilizopita
Kamanda wa pili wa Hezbollah - wanamgambo wenye nguvu wanaoungwa mkono na Iran nchini Lebanon - amesema mauaji ya Israel ya raia huko Gaza yanahatarisha vita kuenea Mashariki ya Kati.

Sheikh Naim Qassem aliiambia BBC "matukio makubwa na ya hatari sana yanaweza kutokea katika eneo hilo, na hakuna mtu ambaye ataweza kuzuia athari zake."

Naibu kiongozi wa Hezbollah alikuwa akizungumza katika mahojiano mjini Beirut, wakati wizara ya afya inayosimamiwa na Hamas huko Gaza ikisema zaidi ya watu 10,000 wameuawa hadi sasa.

Mashambulio ya Israel yamekuja baada ya mashambulizi ya Hamas tarehe 7 Oktoba ambayo yaliua watu 1,400 - 1,000 kati yao raia.

Hatari ni ya Kweli
"Hatari ni ya kweli," alisema, "kwa sababu Israel inaongeza uchokozi dhidi ya raia na kuua wanawake na watoto. Je, inawezekana hali hii kuendelea bila ya kuleta hatari katika eneo hili? Nadhani hapana."

Hezbollah ni kundi la Waislam wa Shia - ambalo limeainishwa kama shirika la kigaidi na Uingereza, Marekani na baadhi ya nchi za Kiarabu. Ndilo kundi kubwa zaidi la kisiasa na kijeshi nchini Lebanon.

Majibu ya kundi hilo kwa vita vya Gaza yamehusisha kurusha makombora lakini kundi hilo liwekuwa na uangalifu juu ya vitendo vyake.

Shambulio la Israel lililomuua mwanamke na watoto watatu kusini mwa Lebanon siku ya Jumapili, Hezbollah ilirusha makombora ya Grad kwa mara ya kwanza katika mzozo huo, na kumuua raia wa Israel.

Kiongozi wa Hezbollah, Hassan Nasrallah, ametishia kwamba kila kifo cha raia nchini Lebanon kitalipwa kwa kifo chengine Israel. Lakini hajatishia kuingia vitani moja kwa moja na Israel.

Kundi hilo linasisitiza "chaguzi zote zinazingatia." Zaidi ya wapiganaji wake 60 wameuawa, lakini ina wapiganaji wengi zaidi wa kuchukua nafasi zao.

Katika mahojiano yetu na naibu kiongozi wa kundi hilo - alijaribu kuonyesha Hezbollah kama kundi la kujihami - ingawa limeapa kuiharibu Israeli.

Mwaka 2006 iliingia katika vita na Israel baada ya kuwateka nyara wanajeshi wawili katika uvamizi wa kuvuka mpaka
 
Yale Yale porojo kila siku🤔🤔 mwarabu ni mtu muoga sana kuwahi kutokea ni mwendo wa mikwara then akajifiche nyuma ya watoto na wanawake
 
sdx

Maelezo ya picha,
Naibu Mkuu wa Hezbollah, Sheikh Naim Qassem, ameiambia BBC hatari ya mzozo wa kikanda ni ya kweli wakati huu vita vya Israel-Hamas vikiendelea

Saa 2 zilizopita
Kamanda wa pili wa Hezbollah - wanamgambo wenye nguvu wanaoungwa mkono na Iran nchini Lebanon - amesema mauaji ya Israel ya raia huko Gaza yanahatarisha vita kuenea Mashariki ya Kati.
Sheikh Naim Qassem aliiambia BBC "matukio makubwa na ya hatari sana yanaweza kutokea katika eneo hilo, na hakuna mtu ambaye ataweza kuzuia athari zake."
Naibu kiongozi wa Hezbollah alikuwa akizungumza katika mahojiano mjini Beirut, wakati wizara ya afya inayosimamiwa na Hamas huko Gaza ikisema zaidi ya watu 10,000 wameuawa hadi sasa.
Mashambulio ya Israel yamekuja baada ya mashambulizi ya Hamas tarehe 7 Oktoba ambayo yaliua watu 1,400 - 1,000 kati yao raia.

Hatari ni ya Kweli​

"Hatari ni ya kweli," alisema, "kwa sababu Israel inaongeza uchokozi dhidi ya raia na kuua wanawake na watoto. Je, inawezekana hali hii kuendelea bila ya kuleta hatari katika eneo hili? Nadhani hapana."
Hezbollah ni kundi la Waislam wa Shia - ambalo limeainishwa kama shirika la kigaidi na Uingereza, Marekani na baadhi ya nchi za Kiarabu. Ndilo kundi kubwa zaidi la kisiasa na kijeshi nchini Lebanon.
Majibu ya kundi hilo kwa vita vya Gaza yamehusisha kurusha makombora lakini kundi hilo liwekuwa na uangalifu juu ya vitendo vyake.
Shambulio la Israel lililomuua mwanamke na watoto watatu kusini mwa Lebanon siku ya Jumapili, Hezbollah ilirusha makombora ya Grad kwa mara ya kwanza katika mzozo huo, na kumuua raia wa Israel.
Kiongozi wa Hezbollah, Hassan Nasrallah, ametishia kwamba kila kifo cha raia nchini Lebanon kitalipwa kwa kifo chengine Israel. Lakini hajatishia kuingia vitani moja kwa moja na Israel.
Kundi hilo linasisitiza "chaguzi zote zinazingatia." Zaidi ya wapiganaji wake 60 wameuawa, lakini ina wapiganaji wengi zaidi wa kuchukua nafasi zao.
Katika mahojiano yetu na naibu kiongozi wa kundi hilo - alijaribu kuonyesha Hezbollah kama kundi la kujihami - ingawa limeapa kuiharibu Israeli.
Mwaka 2006 iliingia katika vita na Israel baada ya kuwateka nyara wanajeshi wawili katika uvamizi wa kuvuka mpaka
Kobazi tulieni ,wayahudi wanalipa kisasi mbona kipindi cha mtume wenu alipokuwa anawaua wayahudi kwa upanga wao walikaa kimya na kipindi cha Hitler amkawaua wayahudi milioni sita mbona walitulia tu
 
Iran na hizbollah wamewaponza hamas kama ambavyo NATO na marekan walivvowaponza Ukraine wakajikuta unyagoni peke yao
 
Back
Top Bottom