Video: Hawa watu weusi wa Gaza walifikaje huko?

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
13,732
29,115
Mzuka wanajamvi!

Hulka ya mtu mweusi ni kujipendekeza na kiherehere. Cheki wenzake wengine waarabu hawajabeba majeruhi lakini nigga pekee yake kajitwisha mzigo.

20231107_115853.jpg

Hii video hapo chini ni tarehe 07/10 Hamas wslipovamia kusini mwa Israel.

Video nyingine hapo chini ni Hamas kuvamia tamasha la vijana wateule ambao walikuwa wanapata goodtime jangwani na kuua wateule 286 na kuteka wateule wengine.

Huyo binti Noa Argamani alikuwa akilia dont kill me dont kill me huku akinyoosha mkono kwa mpenzi wake aliyechukuliwa mateka. Lakini cheki huyo nigga alivyokazana kwa kumshika na kumsukumasukuma mteule.

Hawa wamatumbi walifikaje fikaje Gaza wakawa wakazi?
 
Wakazi asili kabisa katika eneo hilo ni Wakanani ambao walikuwa weusi.

Biblia Mwanzo 10 .6 Na wana wa Hamu ni Kushi, na Misri, na Putu, na Kanaani.
Na mpaka wa Wakanaani ulianza kutoka Sidoni kwa njia ya Gerari hata Gaza; tena kwa njia ya Sodoma, na Gomora, na Adma, na Seboimu, hata Lasha.
 
Ko unataa kusema ushoga sisi Africa ni hasiri yetu??
 
Wakazi asili kabisa katika eneo hilo ni Wakanani ambao walikuwa weusi.

Biblia Mwanzo 10 .6 Na wana wa Hamu ni Kushi, na Misri, na Putu, na Kanaani.
Na mpaka wa Wakanaani ulianza kutoka Sidoni kwa njia ya Gerari hata Gaza; tena kwa njia ya Sodoma, na Gomora, na Adma, na Seboimu, hata Lasha.
Mtumishi mmoja wa Mungu anasema kuwa kisiasa Israel hawana nchi, ila ki-Biblia, Israel ndiyo wenye nchi
 
Wakazi asili kabisa katika eneo hilo ni Wakanani ambao walikuwa weusi.

Biblia Mwanzo 10 .6 Na wana wa Hamu ni Kushi, na Misri, na Putu, na Kanaani.
Na mpaka wa Wakanaani ulianza kutoka Sidoni kwa njia ya Gerari hata Gaza; tena kwa njia ya Sodoma, na Gomora, na Adma, na Seboimu, hata Lasha.
Ambacho Huwa nashangaa majina mengi ya maeneo yamebadirika ila Gaza imebaki na jina lake 🤔
 
Kwasababu mkanani alilaaniwa ndo mnataka kusema ni mweusi, soma vizuri mkanani sio mweusi. Kushi ndo mtu mweusi ila mkanani sio kushi.
 
Ambacho Huwa nashangaa majina mengi ya maeneo yamebadirika ila Gaza imebaki na jina lake 🤔
Yani hata kwenye biblia Samsoni alikuwa anaingia Gaza kwenda kutembeza miti kwa wanawake wa kifilisti (waarabu) na kuwapelekea moto balaa. Baada ya kuwagegeda akirudi Israel harudi hivihivi alikuwa anawatembezea dozi ya uhakika vijana wakiarabu wote anakutana nao njiani. Samsoni alikuwa mtata sana kuna siku aliwakusanya miarabu kama 300 na kuhitahiri kwa lazima wakati bado wanauguza vidonda akayatembezea mkong'oto wa haja na kuyaua yote.

incharge 100 others Kambaku
 
Ambacho Huwa nashangaa majina mengi ya maeneo yamebadirika ila Gaza imebaki na jina lake 🤔
Achana na Gaza. Mji mkuu wa Syria huu Damascus kwa mara ya kwanza jina lake limeonekana kuandikwa na Wamisri miaka elfu tatu kabla ya Yesu kuzaliwa. Mojawapo ya miji isiyohamishwa, uko palepale na jina lilelile.
Miji mingine hubadilika maeneo au majina.
 
Back
Top Bottom