Majasusi wa Mosad wadakwa mpakani mwa Afghanistan na Iran

SNAP J

JF-Expert Member
Dec 26, 2013
7,079
7,976
Majasusi watatu wa Mosad wamekamatwa kama panya na wanaintelijensia wa Iran na Taliban katika operesheni maalum ya kuimarisha ulizni baina ya mataifa hato katika milima iliyo mpakani mwa Iran na Afghanistan.

Inaaminika majasusi hao wa kizayuni walikuwa wamepanga kufanya shambulizi la kigaidi kwa kutumia ndege zisizo na rubani (drones) kutokea Afghanistan kwenda Iran.

Majasusi hao watasafirishwa kuelekea Tehran kwenda kujibu mashkata yanayowakabili

"Reast in peace Mosad agents"

That's all I can say.

Chanzo: Iran Obsever

IMG_20231106_100108.jpg
 
View attachment 2805639
yaan ukiwa mkosoaji wa hao wavaa kobaz wanakuita jasusi la magharibi au israel
 
Majasusi watatu wa Mosad wamekamatwa kama panya na wanaintelijensia wa Iran na Taliban katika operesheni maalum ya kuimarisha ulizni baina ya mataifa hato katika milima iliyo mpakani mwa Iran na Afghanistan.

Inaaminika majasusi hao wa kizayuni walikuwa wamepanga kufanya shambulizi la kigaidi kwa kutumia ndege zisizo na rubani (drones) kutokea Afghanistan kwenda Iran.

Majasusi hao watasafirishwa kuelekea Tehran kwenda kujibu mashkata yanayowakabili

"Reast in peace Mosad agents"

That's all I can say.

Chanzo: Iran Obsever

View attachment 2805639
Wapigwe mbupu kabla hawajapewa mkate
 
Propa...ga...nda
Kwa Israel na Iran ni sawa! Kwani wanasayansi wa nyuklia wakiouliwa huko Iran mwisho wa siku akionitapa alikuwa nani kama amefanya hayo? Ni Mossad kwaiyo wala usishangae kabisa
 
Back
Top Bottom