Marekani inawatumia watu wa Afrika kama "Guinea pigs" kufanya utafiti wa kibiolojia

Mathanzua

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
15,866
20,723

COMMISSION TO EXPOSE EVIL

So do not be afraid of them, for there is nothing concealed that will not be disclosed or hidden that will not be made known. What I tell you in the dark, speak in the daylight; what is whispered in your ear, proclaim from the roofs. Do not be afraid of those who kill the body but cannot kill the soul. Rather, be afraid of the One who can destroy both soul and body in hell”. Jesus Christ – Gospel of Mathew, 10,26-28

Urusi inaishutumu Marekani kwa kuwatumia watu wa Afrika kufanya utafiti wa kibiolojia

07 November 2023

Wizara ya Ulinzi ya Urusi imeishutumu Marekani kwa kufanya utafiti haramu wa kibiolojia kwa kutumia watu wa Afrika kama Guineapigs au "rasilimali ya kliniki isiyo na malipo."Mkuu wa Kikosi cha wanajeshi wa kikosi cha silaha za kijeshi cha ulinzi wa kinga ya nyuklia, kemikali na kibayolojia Luteni Gavana Igor Kirillov alisema kuwa majaribio haya "haramu" yanafanyika nchini Nigeria na nchi zingine za Kiafrika.Kirillov pia alishutumu Marekani kwa kuhamisha miradi ya utafiti was silaha za kibiolojia kutoka Ukrainia hadi Afrika, Ulaya Mashariki na Kusini Mashariki mwa Asia,kwa kisingizio cha mipango ya afya ya umma.

Alisema kuwa mkataba wa miaka mitatu kati ya Shirika la Kupunguza Tishio la Ulinzi la Marekani (DTRA) na Shirika Lisilo la Kibiashara la RTI International uliotiwa saini Agosti iliyopita kwa ajili ya kufuatilia magonjwa ya kuambukiza nchini Nigeria, kwa kweli ni sehemu ya shughuli pana zaidi za "kijasusi za kibayolojia".

Miongoni mwa shughuli ambazo Wizara hiyo inashutumu Marekani ni "kuchambua hali ya janga la silaha za kibayolojia kwenye mipaka ya wapinzani wa kijiografia na katika maeneo yanayotarajiwa kupelekwa wanajeshi."

Krillov ameendelea kudai kuwa Urusi ina uthibitisho kwamba Marekani inachunguza hali ya "tishio la silaha za kibayolojia
Iraq, Afghanistan,China, Türkiye, Pakistan na Saudi Arabia," lakini hii ni kisingizio tu cha kupanga uharibifu.

Kulingana na Kirillov, mradi wa kibayolojia ambao lengo lake lilitajwa kuwa ni kupambana na VVU na UKIMWI nchini Nigeria.Lengo hili linawaweka Waafrika katika hatari kubwa.Utafiti huu unaelekezwa kwa wale ambao wamepewa tiba ya kuzuia virusi kutoka kwa kampuni ya dawa ya Gilead Sciences. Alisema kuwa Gileadi ina uhusiano na Pentagon na imejaribu dawa kwa Waukraine hapo awali na kusema kuwa kwa sasa wanafanya vivyo hivyo kwa watu wa Afrika. Alisema kuwa asilimia 60 ya Wanigeria walio na VVU na UKIMWI wanapokea dawa hizo, lakini hazifanyi kazi,ikithibisha kuwa lengo lake ni lingine kabisa.

"Pamoja na ongezeko la ufadhili wa kila mwaka wa takriban dola milioni 100, kiwango cha maambukizi ya VVU kimebakia bila kubadilika kulingana na takwimu za 2009. Vifo miongoni mwa watu walioambukizwa VVU pia vinaonyesha kuongezeka,” alibainisha.

Hilo limemfanya ahitimishe hivi: “Dawa za Kimarekani, hata pamoja na ongezeko lililothibitishwa la matumizi nchini Nigeria, hazina faida za kimatibabu zinazoonekana, na raia wa Nigeria wanatumiwa vibaya kama ‘rasilimali ya kliniki bila malipo au Guineapigs."

Kulingana na Urusi, Pentagon inatumia fursa ya afya mbaya ya umma barani Afrika ili kuweza kukusanya takwimu kwa nia ovu na kusafirisha sampuli mbalimbali kwa kutumia mawakala wake ili kuleta maambukizi.

Urusi imesema kuwa baadhi ya miradi imefanywa ili kuepusha tuhuma dhidi ya Pentagon. Kwa mfano wanasema kwamba upo utafiti uliofanywa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Afghanistan kwa niaba ya Marekani wa kuchunguza vimelea hatari kama vya Kimeta na kukusanya sampuli za kibayolojia huko Afghanistan na kuzileta U.S.

America ina historia ovu sana ya kutumia watu wa Kiafrika kwa majaribio ya kimatibabu,kwa hiyo lazima nchi za Afrika,Amerika ya Kusini na Asia ziwe makini sana.

Mamlaka nchini Nigeria na Marekani hata hivyo zimekanusha madai haya na kusisitiza kuwa
wao wanasaidia kuzuia magonjwa na kulinda afya ya umma. Kukanusha huku hata hivyo kulitegemewa.

Ingawa madai haya bado hayajathibitishwa na taasisi zingine huru,hata hivyo zinaweza kuwa na ukweli mkubwa ikizingatiwa kuwa Marekani ina historia ndefu na ya uovu wa kufanya majaribio ya kimatibabu na eugenics kwa Waamerika wenye asili ya Afrika, ambao mara nyingi walitumiwa kama “Guineapigs” na kufanyiwa majaribio mabaya na kuambukizwa magonjwa ili kutafuta matibabu mapya na hata virtual extremination.Kujua kiwango cha uovu wa Marekani mtu anahitaji tu kuona yale yanayo-tokea Ukraine na Gaza sasa.
 
FB_IMG_1699324821114.jpg
 
Urusi inaishutumu Marekani kwa kuwatumia watu wa Afrika kufanya utafiti wa kibiolojia

07 November 2023

Wizara ya Ulinzi ya Urusi imeishutumu Marekani kwa kufanya utafiti haramu wa kibiolojia kwa kutumia watu wa Afrika kama Guineapigs au "rasilimali ya kliniki isiyo na malipo."Mkuu wa Kikosi cha wanajeshi wa kikosi cha silaha cha kijeshi cha ulinzi wa kinga ya nyuklia, kemikali na kibayolojia Luteni Gavana Igor Kirillov alisema kuwa majaribio haya "haramu" yanafanyika nchini Nigeria na nchi zingine za Kiafrika.Kirillov pia alishutumu Marekani kwa kuhamisha miradi ya utafiti was silaha za kibiolojia kutoka Ukrainia hadi Afrika, Ulaya Mashariki na Kusini Mashariki mwa Asia,kwa kisingizio cha mipango ya afya ya umma.

Alisema kuwa mkataba wa miaka mitatu kati ya Shirika la Kupunguza Tishio la Ulinzi la Marekani (DTRA) na Shirika Lisilo la Kibiashara la RTI International uliotiwa saini Agosti iliyopita kwa ajili ya kufuatilia magonjwa ya kuambukiza nchini Nigeria kwa kweli ni sehemu ya shughuli pana zaidi za "kijasusi cha kibayolojia".

Miongoni mwa shughuli ambazo Wizara hiyo inashutumu Marekani ni "kuchambua hali ya janga kwenye mipaka ya wapinzani wa kijiografia na katika maeneo yanayotarajiwa kupelekwa wanajeshi."

Urusi pia inadai kuwa ina uthibitisho kwamba Marekani inachunguza hali za kibaolojia katika "Iraq na Afghanistan zinazopakana na China, Türkiye, Pakistan na Saudi Arabia."

Kulingana na Kirillov, mradi wa kibaolojia ambao lengo lake lilitajwa ni kupambana na VVU na UKIMWI nchini Nigeria.Lengo hili linawaweka Waafrika katika hatari kubwa.Utafiti huu unaelekeza kwa wale ambao wamepewa tiba ya kuzuia virusi kutoka kwa kampuni ya dawa ya Gilead Sciences. Alisema kuwa Gileadi ina uhusiano na Pentagon na imejaribu dawa kwa Waukraine hapo awali na kusema kuwa kwa sasa wanafanya vivyo hivyo kwa watu wa Afrika. Alisema kuwa asilimia 60 ya Wanigeria walio na VVU na UKIMWI wanapokea dawa hizo, lakini hazifanyi kazi.

"Pamoja na ongezeko la ufadhili wa kila mwaka wa takriban dola milioni 100, kiwango cha matukio ya VVU kimebakia bila kubadilika na kinalingana na takwimu za 2009. Vifo miongoni mwa watu walioambukizwa VVU pia vinaonyesha maendeleo kuongezeka,” alibainisha.

Hilo limemfanya ahitimishe hivi: “Dawa za Kimarekani, hata pamoja na ongezeko lililothibitishwa la matumizi nchini Nigeria, hazina faida za kimatibabu zinazoonekana, na raia wa Nigeria wanatumiwa vibaya kama ‘rasilimali ya kliniki bila malipo au Guineapigs."

Kulingana na Urusi, Pentagon inachukua fursa ya masuala ya afya ya umma barani Afrika kufuatilia masuala ya kibiolojia, kukusanya na kusafirisha sampuli mbalimbali za mawakala wa kuambukiza.

Walisema kuwa baadhi ya miradi imefanywa na Idara ya Jimbo ili kuepusha tuhuma dhidi ya Pentagon. Kwa mfano, walitambua mpango wa utafiti uliofanywa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Afghanistan unaohusisha kuchunguza vimelea hatari kama vile kimeta kwa kukusanya sampuli za kibayolojia huko na kuzileta U.S.America ina historia ya ovu sana ya kutumia watu wa Kiafrika kwa majaribio ya kimatibabu,kwa hiyo lazima nchi za Afrika,Amerika ya Kusini na Asia zime makini sana.

Mamlaka nchini Nigeria na Marekani zimekanusha madai haya na kusisitiza kuwa
wao wanasaidia kuzuia magonjwa na kulinda afya ya umma. Kukanusha huku hata hivyo kulitegemewa.

Ingawa madai haya bado hayajathibitishwa na taasisi zingine huru,hata hivyo zinaweza kuwa na ukweli mkubwa ikizingatiwa kuwa Marekani ina historia ndefu na ya uovu wa kufanya majaribio ya kimatibabu kwa Waamerika wenye asili ya Afrika, ambao mara nyingi walitumiwa kama “Guineapigs” na kufanyiwa majaribio mabaya na kuambukizwa magonjwa ili kutafuta matibabu mapya.
Urusi ni irrelevant country, imebakia umbea na majungu.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Hizo ni propaganda tu na hazifikii uovu uliofanywa na waarabu wakati wa biashara haramu ya utumwa pale walipowaasi watumwa wote wa kiume ili wasije wakazaliana huko Uarabuni na ndio maana leo hakuna uzao wa watu weusi huko Uarabuni.

Waarabu wajinga sana halafu wamekuja wakakuta waafrika ni watu bogus wakawadanganya kufuata utamaduni wao na kuwadanganya eti ni dini hadi wakawapa majina yao. Waarabu bure kabisa.
 
Ww ni mpumbavu hapo mbona hakuna sehemu yeyote mada ina ongelea waarabu au dini,au warusi siku hizi ni waarabu?

Kuna mdau mmoja kaanzisha uzi unao sema kuwa Mungu alimpunja akili mtu mweusi ,sasa naanza kuamini maneno yake.
Watu kama nyinyi ndo mnafanya jamii ya kiafrika ionekane kuwa ni ya hovyo.
 
Mkuu taratibu basi,wewe kila unaepishana nae mtazamo unamwita 'mpumbavu'.Jamani hatuwezi kuwa na mitazamo sawa wote hapa kwenye forum
 
Kinacho tuponza watu weusi tuna panda Sana kupewa na dunia yote inatujua kwamba sisi tunapenda Sana kupewa

Nina Imani hata kwenye madarasa yao Kuna somo linafundishwa kabisa kwamba sifa au udhaifu was mtu mweusi ni kupenda kupewa au kuzawadiwa au kusaidiwa

Inaeleweka hivyo kwamba Samia,nakainde,kagame,ruto,mseveni nk ukitaka kuwa nasa wewe wape misaada

Sjui kwanini hatubadiriki? Kwanini hatujifunzi kwa walio tutangulia?

Mtu mweusi unaweza mwambia anaumwa na akaamini kwamba kweli anaumwa hata Kama haumwi
 
Wakati Urusi anatoa habari kama Hii USA anafanya Experiment za Binadamu Ukraine watu wakapuuza na kusema ni propaganda, Baadae Laptop Ya Hunter Biden ikaprove kila kitu, sasa Hivi Hunter Biden yupo Busy kushtaki vyombo vilivyovujisha.
 
Mkuu taratibu basi,wewe kila unaepishana nae mtazamo unamwita 'mpumbavu'.Jamani hatuwezi kuwa na mitazamo sawa wote hapa kwenye forum
Mtazamo gani ? Hii tabia ya kuharibu nyuzi za watu inataka kukithiri humu.

Mada inahusu Urusi na Marekani lakini yeye kesha leta waarabu mara watumwa mara dini sasa hayo yote yana uhusiano gani na mada iliyo letwa hapo juu zaidi ya kuharibu uzi wa mtu aliye tumia muda wake kuuanzisha?

Kama ana taka kuongelea hayo anzishe mada yake na sio kudandia mada za watu na kuziharibu.
 
Hizo ni propaganda tu na hazifikii uovu uliofanywa na waarabu wakati wa biashara haramu ya utumwa pale walipowaasi watumwa wote wa kiume ili wasije wakazaliana huko Uarabuni na ndio maana leo hakuna uzao wa watu weusi huko Uarabuni.

Waarabu wajinga sana halafu wamekuja wakakuta waafrika ni watu bogus wakawadanganya kufuata utamaduni wao na kuwadanganya eti ni dini hadi wakawapa majina yao. Waarabu bure kabisa.
Sikuelewi mkuu,kwa hiyo kwa kuwa kwa akili zako uovu huu haufikii wa Waarabu,ni ruksa kuufanya?Si kweli, Waarabu walichukuwa watu utumwa sawa,but those people somehow many of them continued to survive.Mauaji wanayofanya Wamarekani ni mauaji ya halaiki mkuu, infact tunacho-ona is just a tip in the iceberg.Tafuteni taarifa,be knowledgeable,mmekaa kizembe sana.
 
Hizo ni propaganda tu na hazifikii uovu uliofanywa na waarabu wakati wa biashara haramu ya utumwa pale walipowaasi watumwa wote wa kiume ili wasije wakazaliana huko Uarabuni na ndio maana leo hakuna uzao wa watu weusi huko Uarabuni.

Waarabu wajinga sana halafu wamekuja wakakuta waafrika ni watu bogus wakawadanganya kufuata utamaduni wao na kuwadanganya eti ni dini hadi wakawapa majina yao. Waarabu bure kabisa.
Sikuelewi mkuu,kwa hiyo kwa kuwa kwa akili zako uovu huu haufikii wa Waarabu ni ruksa kufanya?Si kweli,at least Waarabu walichuwa watukwa,but they continued to survive,haya ni mauaji ya halaiki,na tunach-ona is just a tip in the iceberg,mauaji wanavyofanya wamarekani kwa kutumia mbinu mbali mbali ni unimaginable,tafuteni taarifa,be knowledgeable,mmekaa kizembe sana.
 
Back
Top Bottom