International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Nimeona zoezi la kushambulia Hamas kwa vita vya ardhini (ground invasion) litakuwa na changamoto nyingi sana kwa Wazungu. Hii siyo Israeli tu, hata Marekani vita ya ardhini hawezi. Ngoja tuone...
10 Reactions
110 Replies
8K Views
Wayahudi wamepitia magumu mengi tangu enzi za kabla ya Yesu, ikiwemo kuuawa na kisha kutiwa utumwani Misri na Babylon (Iraq), kunyang'anywa ardhi yao iliyomilikiwa na babu zao, ardhi iliyokuwa...
10 Reactions
66 Replies
3K Views
Namuomba Allah S.W afanye wepesi kwa hili in shaa Allah! Palestine 🇵🇸 will be free in shaa Allah!
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Mfalme Abdallah wa Jordan hapo jana alitangaza kuwa jeshi la nchi hiyo bila hofu lilidondosha misaada muhimu kwenye kituo chake kilichopo Gaza katikati ya vita vinavyoendelea. “Our fearless air...
1 Reactions
6 Replies
826 Views
Tangu mgogoro kati ya Israel na kundi la Hamas kuzuka, vyombo vya habari vya nchi za magharibi vimekuwa vikiripoti bila uwiano kuhusu changamoto zilizoletwa na mgogoro kati ya pande hizo mbili...
0 Reactions
4 Replies
729 Views
Nov 08, 2023 03:33 UTC Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amelaani vikali mashambulizi ya kinyama utawala wa Kizayuni huko Gaza na kusisitiza kuwa, mataifa ya Kiislamu yana...
0 Reactions
4 Replies
545 Views
Mpaka nikiandika mataifa yaliyokarisha uhusiano na Israel yamefikia 9. Kwa unyama inaofanya taifa hilo hasa kuuwa watoto ikifika kesho jioni watakaokuwa wamebaki watakuwa ni wachache. Tanzania ni...
6 Reactions
69 Replies
4K Views
Sisi watu weusi tumerogwa.... Tumekuwa tu wapumbavu mpaka Upumbavu umekuwa sisi. Nenda hapo Darfur kaangalia mauaji yanayofanywa na hawa JanjaWeed wenye ushirika mkubwa na Hamas na Hezbollah...
1 Reactions
7 Replies
772 Views
Mzuka wanajamvi. Hii habari ya Israel kulipua kituo kikuu uchwara cha maji Gaza nimeiopokea kwa furaha sana. Matenki uchwara ya kutosha yamelipuliwa. Haiwezekani magaidi yakaishi na kuendekeza...
28 Reactions
192 Replies
9K Views
Katika kufatilia historia ya Vatican inatumika kama branch ya Western Intelligence katika kufanikisha mipango yao, sasa Papa kama kibaraka kaja na swaga kutaka kuja Russia ili amshawishi Putin...
15 Reactions
22 Replies
3K Views
Hivi US anafanya nini huko Syria? --- A military base in southern Syria where U.S. troops have maintained a presence to train forces as part of a broad campaign against the Islamic State group...
3 Reactions
60 Replies
5K Views
Makamu wa Rais wa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya (EU)inayohusika na uchunguzi wa Maudhui Mitandaoni, #VeraJourova ametoa agizo hilo baada ya kufanya kikao na Viongozi wa Mitandao hiyo iliyolalamikiwa...
0 Reactions
3 Replies
749 Views
Tofauti na waungaji mkono wa Palestina kwamba wametulia kwenye nchi zao,waziri wa nchi wa Marekani amekuwa hatulii nchini kwake tangu shambulio la Hamas la oktoba 7. Safari ya mwanzo aliyoifanya...
6 Reactions
51 Replies
3K Views
Waziri wa Uchukuzi wa Afrika Kusini, Sindisiwe Chikunga amesimulia tukio la kuibiwa wa kusema wezi walimtishia kwa kumuwekea bastola kichwani kisha wakamuibia wakati alipokuwa akibadilisha tairi...
1 Reactions
0 Replies
683 Views
Katika hotuba yake akidai ukiukwaji wa Sheria za Kimataifa za Kibinadamu, Gutteres alisema: "Ni muhimu pia kutambua mashambulizi ya HAMAS hayakutokea bila sababu. Watu wa Palestina wamekuwa...
15 Reactions
98 Replies
5K Views
Kutoka mpunga chotara hadi nyasi za juncao, kutoka maeneo ya kielelezo ya kilimo hadi vijiji vya kielelezo vya kuondokana na umaskini... katika miaka ya hivi karibuni, China na Afrika zimeendelea...
0 Reactions
0 Replies
555 Views
Mgogoro wa Israel na Palestina umedumu kwa zaidi ya miaka 70 sasa. Mara zote umekuwa ukisababisha machafuko makubwa yanayogharimu maisha ya watu, mamia kwa maelfu. Safari hii kama safari...
5 Reactions
11 Replies
999 Views
A Ukrainian major has died after he was accidentally blown up by a grenade given to him as a birthday present.⁠ ⁠ Hennady Chastyakov was killed as he showed the gift to his teenage son at home on...
1 Reactions
1 Replies
582 Views
Katika mwaka huu 2023 dunia imeshuhudia vita vikali ambavyo historia haijawahi kuvishuhudia. Bomu la Hiroshima lilikuwa na moto mkali lakini ilikuwa ni wa mara moja halafu ikawa basi ni kuokota...
8 Reactions
66 Replies
6K Views
Polisi Jumatano waliwakamata Wayahudi watano wa Orthodox kwa tuhuma za kuwatemea mate waumini wa Kikristo katika Jiji la Kale la Jerusalem, huku kukiwa na ongezeko la matukio yanayowalenga...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Back
Top Bottom