International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Baltasar Ebang Engonga, aliyekuwa mkuu wa zamani wa kitengo cha kupambana na uhalifu wa kifedha Equatorial Guinea na mpwa wa Rais Teodoro Obiang Nguema, alijikuta katikati ya kashfa nzito mnamo...
3 Reactions
6 Replies
327 Views
Jamani Putin yuko china USA hawezi kushinda tena vita ya Iran
5 Reactions
21 Replies
387 Views
Kuna msemo unaosema: "A strong port means a strong global trading power.” Nguvu ya uchumi wa China imejengwa kwenye bandari zake kubwa zinazoiunganisha China na dunia "China inahusika na zaidi...
5 Reactions
5 Replies
328 Views
Baada ya magaidi wa Hamas kushindwa vibaya kwenye uvamizi wao wa Oct 07,2023 sasa magaidi hao wanajiandaa upya kwa Oct 7 nyingine!! Safari hii inawatoa kafara vijana na watoto wadogo ili wakafe...
0 Reactions
5 Replies
170 Views
Kiongozi wa China, Xi Jinping, anatarajia kumpokea rafiki yake, Vladimir Putin, ikiwa ni chini ya wiki moja tangu kukamilika kwa ziara kubwa ya Donald Trump nchini humo. Hatua hii inajiri huku...
0 Reactions
3 Replies
256 Views
Rais Duma Gideon Boko wa Botswana ametoa onyo kali kwa watu wanaotuhumiwa kufuja rasilimali za umma, akitangaza kuwa serikali yake itafuatilia urejeshaji wa fedha zilizoibiwa bila kujali ni lini...
2 Reactions
7 Replies
328 Views
Wanaukumbi. Waziri wake wa Mambo ya Nje Araghchi anasema Mlango-Bahari wa Hormuz uko 100% katika maji ya eneo la Iran na Oman — HAKUNA maji ya kimataifa kati ya hayo. Tafsiri: "Hii ni uwanja...
5 Reactions
44 Replies
664 Views
Je, sasa ni wakati sahihi kusema all roads lead to Beijing ? Au ni kama ajali imetokea tu ziara za viongozi mbalimbali wa mataifa makubwa kuongozana Beijing ? Nini hasa kinacho sukuma kwa sasa...
6 Reactions
12 Replies
273 Views
Why Fans Are Calling Joli the “Cameroon Ayra Starr” And Why “Mule Makossa Remix” Is Fueling the Conversation A new conversation is rapidly taking over African music spaces, and it surrounds...
0 Reactions
1 Replies
135 Views
Televisheni ya serikali ya Iran sasa hivi inarusha vipindi vya mafunzo ya jinsi ya kutumia bunduki aina ya AK-47 kwa raia, ambapo wakufunzi kutoka jeshi la IRGC wanaonyesha namna ya kushika...
6 Reactions
42 Replies
881 Views
Wanaukumbi. Rais wa Marekani Donald Trump anatua Beijing, na pamoja naye analeta Wakurugenzi Wakuu wafuatao kuomba "makubaliano" na Rais wa China Xi Jinping: – Elon Musk, Mkurugenzi Mtendaji wa...
9 Reactions
178 Replies
2K Views
Mtu ukijaribu kutafuta tofauti ya akili ya Samuya na akili ya Trump utahitaji tochi yenye nguvu sana. Umeshawahi kuona wapi kiongozi anaishitaki Serikali anayoiongoza kisha anafanya nayo...
0 Reactions
0 Replies
120 Views
Israeli imeanza kuizuia meli ya Magaidi wa kiislamu ya "Global Sumud Flotilla" inayoongozwa na Uturuki iliyoondoka Uturuki kuelekea Ukanda wa Gaza mnamo Mei 14, huku vikosi vya majini vya Israeli...
0 Reactions
2 Replies
111 Views
Wito kwa Waislamu wote kugomea kununua bidhaa zote kutoka Taifa teule la Israel umekuwa ukitolewa mara kwa mara na viongozi wa kiislamu kote duniani swali najiuliza Je wanaweza? Natarajia kuona...
9 Reactions
36 Replies
496 Views
Raia wachoma magurudumu ya magari barabarani huku mgomo wa usafiri ukiendelea Kenya Chanzo cha picha,NMG Wahudumu wa uchukuzi wa umma wamesema watalemaza sekta ya usafiri hadi pale mamlaka ya...
2 Reactions
8 Replies
313 Views
Askari wa IDF ambaye alionekana kwenye picha akiweka sigara mdomoni mwa sanamu ya Bikira Maria, katika kijiji cha Wakristo kusini mwa Lebanon, amehukumiwa kifungo na kazi ngumi kwa siku 21 jela...
4 Reactions
59 Replies
757 Views
IMETHIBITISHWA: Mkuu wa Hamas, Izz al-Din al-Haddad, ameangamizwa bila huruma huko Gaza. Hii inadhibitisha wazi kuwa Israel ina mkono mrefu!! Habari za kifo hiki ziwafikie Mzee wa Uharo Ritz...
8 Reactions
22 Replies
387 Views
I recently watched a Symposium hosted by Central European University, and the speaker was none other than the eminent and legendary Joseph Nye from Harvard Kennedy School of Governance. The topic...
17 Reactions
140 Replies
11K Views
Kulingana na mwandishi mkuu wa Al Jazeera huko Tehran, Marekani imekataa pendekezo la Iran kwa ukamilifu na wakati wowote Iran itaanza kupigwa!! Pendekezo la Iran lilijumuisha masharti 5 ambayo...
1 Reactions
3 Replies
283 Views
WHO IS NEXT Russian parliament approves law allowing Putin to invade other countries Huyu bwana Putin ni smart sana hakurupuki kama wengine . Wengine wanaweza kukurupuka tu asubuhi na kuanzisha...
6 Reactions
8 Replies
276 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…