International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Marco Rubio anasema mashambulizi ya kijeshi ya Marekani dhidi ya Iran yameisha, akisisitiza kuwa operesheni hiyo imefikia malengo yake. Alisema lengo lilikuwa kudhoofisha uwezo wa makombora ya...
5 Reactions
26 Replies
542 Views
South Sudan President Salva Kiir Mayardit has dismissed the country’s army chief and finance minister in yet another major government reshuffle, according to state media reports. 📸 President...
4 Reactions
6 Replies
231 Views
AN OPEN LETTER TO ALL NIGERIANS: LET US PROTECT OUR NATIONAL PRIDE – AIRPEACE My dear fellow Nigerians, I write this not as a distant observer, but as a proud son of the soil, a patriotic...
1 Reactions
1 Replies
109 Views
Anaweza asiwe na hizi tabia zote ila hakosi at least moja. 1. Watawala au wanaoashabikia nchi zenye utawala wa kimabavu na uonevu kwa wananchi wake 2. Anapenda maudhui ya ushoga na usagaji 3...
7 Reactions
7 Replies
320 Views
Well, ukiona mtu anafurahi vita juu ya Israel au Iran kupigwa either way kwa sababu za kiimani zenu, ujue wote mnafanya kazi ya Shetani. hakuna anaeweza ku claim ushindi wakati kuna uharibifu...
8 Reactions
83 Replies
3K Views
Bahrain iliwakamata watu 41 waliohusishwa na Kikosi cha Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu cha Iran, baada ya uchunguzi wa usalama kubaini shirika lililohusiana na IRGC na itikadi ya Wilayat...
1 Reactions
1 Replies
98 Views
Uwezekano ni mkubwa Sana Kwamba Mwamba wa Dunia hii Marekani ikapata Rais mwenye Jinsia ya Kike, Ndio huyo atakuwa Rais wa Dunia Ataungana na Spika wa Dunia Dr Tulia PhD Tuzidi kuwaombea 😄
18 Reactions
134 Replies
6K Views
Wanajeshi wa IDF ndani ya kituo cha kuhifadhia silaha cha Hezbollah kabla ya kukibomoa ambapo vifaa kadhaa vya kulipuka na makombora ya kupambana na vifaru vilipatikana Zaidi ya hayo, vituo...
2 Reactions
17 Replies
287 Views
Wanaukumbi. Shirika la kimataifa la masuala ya bahari la Umoja wa Mataifa (IMO) limesema takribani meli 1,500 pamoja na mabaharia zaidi ya 20,000 wamekwama katika eneo la Ghuba ya Uajemi kutokana...
3 Reactions
73 Replies
1K Views
Trump atangaza "Uhuru wa Mradi": Amerika itasindikiza meli katika Mlango-Bahari wa Hormuz, uingiliaji wowote wa Iran utakabiliwa na nguvu kali wasiyoitarajia!!. Iran kwa sasa hana chake kwenye...
8 Reactions
55 Replies
2K Views
Its simple, Ni kwa sababu kwao ugaidi umeunganishwa na Mungu, yaani mtu anapigana na watu bila sababu ya msingi kwa niaba ya Mungu wa kufikirika. Inachekesha sana ila kwao ni "sacred."...
12 Reactions
81 Replies
1K Views
Wanaukumbi. Operesheni ya Marekani ya kuongoza meli zilizokwama kupitia Mlango-Bahari wa Hormuz itasitishwa kwa "muda mfupi," Rais Donald Trump alitangaza Jumanne jioni. Trump alisema kwamba...
6 Reactions
80 Replies
1K Views
Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir, amemfuta kazi mkuu wa jeshi pamoja na waziri wa fedha aliyekuwa ameapishwa chini ya miezi mitatu iliyopita, kwa mujibu wa taarifa ya vyombo vya habari vya...
1 Reactions
2 Replies
155 Views
Nilishasema hapa kama Trump angejua ana dili na nani asingepoteza muda kuweka mikwara mingi pasipo suruhisho sasa akili imemkaa na ameamua kwenda china kupiga magoti na kumsihi china amshawishi...
5 Reactions
5 Replies
337 Views
Kulingana na duru mbalimbali za kisiasa na mizozo ya kimataifa kuna kila namna ya mataifa ya ulaya na Asia hasa Japan na Korea ya kusini kuingilia mzozo wa mashariki ya kati kuhusu usafiri wa...
3 Reactions
12 Replies
498 Views
Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir amemuachisha kazi waziri wa fedha na mkuu wa majeshi ikiwa ni muendelezo wa mabadiliko ambayo amekuwa akiyafanya katika utawala wake. Waziri Salvatore Garang...
0 Reactions
1 Replies
172 Views
Hotuba kamili ya Rais wa Marekani Donald Trump akitangaza vita dhidi ya Iran Muda mfupi uliopita, jeshi la Marekani lilianza operesheni kubwa za mapigano nchini Iran. Lengo letu ni kuwalinda...
7 Reactions
133 Replies
3K Views
Baada ya tangazo la Trump kuwa Marekani inaufungua mlango wa Hormuz kwa nguvu na kuwa itazilinda meli zitakazopita, meli za Marekani zimekuwa zikipita bila kizuizi, huku meli za mataifa mengine...
1 Reactions
11 Replies
507 Views
The Financial Times linasema: Marekani imeisisitiza serikali ya Korea Kusini kujiunga naye kijeshi katika kusaidia kufungua mfereji wa Hormuz. Hili limekuja baada ya Raisi Donald Trump kuwataka...
15 Reactions
20 Replies
597 Views
Ted Turner, mjasiriamali machachari aliyebadilisha tasnia ya habari kupitia kuanzishwa kwa shirika la habari la CNN, amefariki dunia Jumatano akiwa na umri wa miaka 87. Taarifa hizi zimeripotiwa...
0 Reactions
2 Replies
197 Views
Back
Top Bottom