All roads lead to Beijing ?

All roads lead to Beijing ?

Mi mi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
5,907
Reaction score
11,367
Je, sasa ni wakati sahihi kusema all roads lead to Beijing ? Au ni kama ajali imetokea tu ziara za viongozi mbalimbali wa mataifa makubwa kuongozana Beijing ?

Nini hasa kinacho sukuma kwa sasa viongozi wakubwa kutii mguu Beijing kwa kipindi cha hivi karibuni ?

Ukiondoa ziara hii ya leo ya Trump Beijing hapo nyuma kidogo viongozi wa mataifa ya Asia,Ulaya,Canada wametia mguu Beijing na Putin naye imeripotiwa ataenda Beijing.

Je, siasa za kidunia ndio zinaji badilisha taratibu uelekeo ukiwa Beijing au ushawishi wa China umeongezeka mara dufu kwa sasa au ni sababu tu za kiuchumi ?
 
 
Putin anaenda lini ?
 
China amesha chukua kijito Cha number one super power already haizungumzwi tu ukweli
 
Ushawishi wa China kwa sasa hauwezi kupingika, na kiukweli naona kabisa kitovu cha siasa na uchumi wa dunia kimeshahama. Sababu kubwa inayowapeleka hao viongozi wote huko sio tu diplomasia ya kawaida, bali ni ukweli kwamba huwezi kutatua mizozo mikubwa ya sasa au kufanya biashara yenye tija bila kuishirikisha Beijing. Mimi binafsi ninaona kama nchi za Magharibi zimechelewa kushtuka, kwa sababu mtaji wa kiuchumi na kiteknolojia alionao China kwa sasa ndio unaoamua mwelekeo mpya wa dunia, iwe tunapenda au hatupendi.
 
sema watata hao huwa nakunywa nao pombe sehemu wana wivu balaa wakiona unamuangalia demu wake wanajua unamtaka wanaanza kuchanganyikiwa wanaweza kuanzisha ugomvi ila wako peace sana me nasimama na wa china aseee
 
Back
Top Bottom