Hotuba kamili ya Rais wa Marekani Donald Trump akitangaza vita dhidi ya Iran
Muda mfupi uliopita, jeshi la Marekani lilianza operesheni kubwa za mapigano nchini Iran. Lengo letu ni kuwalinda...
Baada ya tangazo la Trump kuwa Marekani inaufungua mlango wa Hormuz kwa nguvu na kuwa itazilinda meli zitakazopita, meli za Marekani zimekuwa zikipita bila kizuizi, huku meli za mataifa mengine...
The Financial Times linasema:
Marekani imeisisitiza serikali ya Korea Kusini kujiunga naye kijeshi katika kusaidia kufungua mfereji wa Hormuz. Hili limekuja baada ya Raisi Donald Trump kuwataka...
Ted Turner, mjasiriamali machachari aliyebadilisha tasnia ya habari kupitia kuanzishwa kwa shirika la habari la CNN, amefariki dunia Jumatano akiwa na umri wa miaka 87. Taarifa hizi zimeripotiwa...
A wave of emotional reactions has swept across Nigeria following a viral video showing billionaire cleric, Jeremiah Omoto Fufeyin, extending support to the family of Oghenemene, a young man...
Hii ni moja ya operation iliyowahi kufeli chini ya masaa 48
Ilianzishwa na rais Trump na kuipublish kwenye mtandao wa jamii lakini kama kawaida yake chini ya masaa 48 kaacha ndala mwenyewe Hormuz.
THE Zimbabwean government has moved to allay fears over the safety of its nationals living in South Africa following renewed concerns about xenophobic tensions.Authorities in South Africa...
Donald Trump kupitia mtandao wake wa truth social amesema kuwa Marekani itasitisha kwa muda operesheni yake ya kuziongoza meli kupitia Mlango bahari wa Hormuz huku (blockade) kizuizi kikiendelea...
Burkina Faso imeipiga marufuku televisheni ya Ufaransa, TV5 Monde, ikiituhumu kwa kueneza "habari za uongo" kuhusu hali ya ugaidi nchini humo na nchi jirani ya Mali. Uamuzi huo ulitangazwa na...
Israel inapitia kipindi wasichokitarajia baada ya kuwaua zaidi ya maafisa 40 wa juu wa serikali ya Iran mwishoni mwa Februari 2026. Wakajutarajia irani kuanguka ,lakini utawala huo umeendelea ku...
Mwaka 1907 Balozi wa Uingereza nchini Ujerumani Eyre Crowe aliaandaa andiko zito "The Crowe Memorandum" na kulituma London. Mle ndani alisema kwamba Ujerumani inakusanya chuma na mainjiania kwa...
United Arab Emirates imesema mifumo yake ya ulinzi wa anga ilikabiliana na makombora 12 ya balistiki, makombora 3 ya cruise na ndege 4 zisizo na rubani zilizorushwa kutoka Iran siku ya Jumatatu...
Yanayojiri yanatisha. Iran launches four cruise missiles at the UAE.
The United Arab Emirates reported that four cruise missiles were launched from Iran toward its territory-three were...
Tuelekee kule Hormuz
Iran imetangaza kuwa jeshi lake litashambulia majeshi ya Marekani endapo yatajaribu kuingia katika Mlango wa Hormuz, kufuatia tangazo la Rais wa Marekani Donald Trump...
Wanaukumbi.
Kikosi cha Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu cha Iran (IRGC) kilisema Jumapili kwamba Rais wa Marekani Donald Trump lazima achague kati ya vita "visivyowezekana" au "mkataba mbaya" na...
Mnamo FEBRUARI 28,2026 Mzee wetu mwenye hekima Ayatollah Ali Khamenei akiwa na umri wa miaka 86 tayari akiwa ameshiba siku akisubiri muda wake kwa amri ya Mungu wake aliuawa.
Uamuzi wa...
Katika shambulio lililolengwa la Israeli kwenye gari magharibi mwa Jiji la Gaza leo, Iyad al-Shanbari, anayejulikana pia kama Abu Salah - kiongozi mkuu katika Kikosi cha Beit Hanoun cha tawi la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.