Netanyahu: Vita na Iran havijaisha, uranium iliyotajirishwa lazima ‘iondolewe’
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu anasema kwamba vita na Iran havijaisha kwani bado kuna uranium iliyotajirishwa katika...
Yerusalemu ni zaidi ya mji. Ni moyo wa Wayahudi, mahali ambapo historia, imani, na utambulisho hukusanyika pamoja katika vizazi vyote.
Leo tunaadhimisha Siku ya Yerusalemu na miaka 59 tangu...
Kwa China kila goti litapigwa. Trump yuko safarini kuelekea China kukutana na the most powerful person in the world Xi Jinping.
Trump amebebana na CEOs wa makampuni makubwa ya Marekani kwenda...
Jeshi la Anga la Israeli limemlenga kiongozi wa Hamas katika Ukanda wa Gaza, Izz al-Din Haddad, katika shambulio la anga katika Jiji la Gaza, Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu na Waziri wa Ulinzi...
Wanajeshi wa Israeli kutoka kikosi cha 551, 401, na 300, chini ya uongozi wa Kitengo cha 146, wanaendelea kufanya kazi kusini mwa Mstari wa Ulinzi wa Mbele kusini mwa Lebanon ili kuondoa vitisho...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi akijiliza-liza kwenye mkutano na waandishi wa habari huko New Delhi, India. Maelezo Muhimu:
Hatuwezi kuwaamini Wamarekani kabisa. Ndiyo maana kila...
Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani inatoa hadi dola milioni 15 kwa taarifa kuhusu watu binafsi na mitandao ya kifedha inayohusiana na shughuli za uzalishaji wa ndege zisizo na rubani za Iran...
Salaaam!
Itachukua muda mrefu mno kuwaelewesha MADUNYA na MABAZAZI huu msemo wa kiingereza usemao kwamba "The First Victim of War is the Truth". Mhanga wa kwanza wa vita siyo mtu, bali ukweli...
Yote haya yanatoka kwenye vyombo vya habari na vyanzo vyake vipo>
Tafsiri kwa msaada wa google.
Israel yatoa taarifa ya kushangaza leo ambapo maafisa wa serikali wanachukulia kwa uzito hivi...
Siku zote tunasema kuwa China haiwezi kukubali kuingia uhasama na USA, jambo ambalo linaweza kuathiri uchumi wa China kwa kiasi kikubwa sana. Kwa nchi ya China, kipaumbele chake kikubwa ni uchumi...
By Correspondent.
African Union peace envoy Roll Stéphane Ngomat roots for peace in Africa.
African Union peace ambassador Roll Stéphane Ngomat is urging for peace in Africa’s conflict...
Sisi Makobaz baada ya Iran kulemazwa, Russia hali yake anasumbuliwa na Ukraine mpaka sasa. Tukahamia China.
Sasa China katuangusha. Anataka kununua Oil toka US? hii inaumiza sana. Sasa tuhamie...
Ni jambo la kawaida kwa jamii ya watu walio sensitive na matukio, kuelekeza nguvu zao kwa matatizo yanayowazunguka. Hali hiyo, huifanya jamii inayojitambua kuibuka na tafiti na gunduzi mbalimbali...
Jeshi la Marekani linaripotiwa kuzingatia kubadilisha jina la mgogoro na Iran kuwa "Operesheni Sledgehammer" ikiwa usitishaji mapigano utavunjika na Rais Donald Trump aamuru hatua mpya za kijeshi...
Kampuni ya Samsung hivi karibuni ilitangaza kuwa itaacha kuuza vifaa vyake vyote vinavyotumika nyumbani nchini China. Chapa ya Samsung ilikuwa alama ya vifaa vya kielektroniki vya nyumbani vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.