Baltasar Ebang Engonga, aliyekuwa mkuu wa zamani wa kitengo cha kupambana na uhalifu wa kifedha Equatorial Guinea na mpwa wa Rais Teodoro Obiang Nguema, alijikuta katikati ya kashfa nzito mnamo mwaka 2024. Hii ni baada ya uchunguzi wa kesi ya ufisadi kufichua video za ngono zinazodaiwa kuwahusisha wake za viongozi wakuu wa serikali pamoja na dada yake rais.
Mnamo Agosti 2025, Engonga alihukumiwa kifungo cha miaka minane jela kwa makosa yanayohusiana na matumizi mabaya ya fedha za umma.
Hata hivyo, madai mapya yamesambaa kwenye mitandao ya kijamii siku ya Jumanne, Mei 19,2026, yameashiria kuwa ameshaachiwa huru baada ya kutumikia kifungo cha miaka miwili tu. Pamoja na hayo, hakuna chanzo chochote rasmi cha serikali kilichothibitisha taarifa hizo, na mtiririko huo wa muda umezua mashaka makubwa
Soma pia
Source: Baltazar Engonga

- Guinea: Video ya Baltasar Engonga akifungwa Pingu na kufikishwa Rumande kwa kashfa ya video za ngono ofisini
- Guinea: Baltasar Engonga ahukumia minane jela
- Baltasar Engonga akabiliwa na kifungo cha miaka 18 kwa Ubadhirifu na Ufisadi, Equatorial Guinea
Source: Baltazar Engonga