International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Rais wa Marekani Donald Trump amepanda Air Force One na kuondoka kwa ziara yake nchini China. Ujumbe maarufu wa viongozi wa biashara wa Marekani unatarajiwa kuandamana na Trump katika safari hii...
3 Reactions
29 Replies
524 Views
Mfumo wa ulinzi wa anga wa **Iron-Dome**ya Israeli haina mpinzani!! Dk. Yuval Steinitz, mwenyekiti wa Rafael Advanced Defense Systems, alisifu mfumo wa Iron-Dome wa Israeli katika hotuba yake kwa...
3 Reactions
31 Replies
496 Views
Waziri Mkuu wa Latvia, Evika Siliņa, ametangaza siku ya Alhamisi kuwa atajiuzulu, hatua inayosababisha kusambaratika kwa serikali ya muungano nchini humo kabla ya uchaguzi muhimu wa bunge...
0 Reactions
0 Replies
144 Views
Kila mara Marekani inaposhindana na China kwenye vita vya kiuchumi na kiteknolojia China inakuwa na karata za ushindi dhidi ya Marekani. Hasa kupitia uwezo wake wa kusafisha na kuchakata...
5 Reactions
6 Replies
213 Views
Mahakama Nigeria imemhukumu aliyekuwa Waziri wa Nishati, Saleh Mamman, kifungo cha miaka 75 jela kwa kosa la kufuja mamilioni ya dola zilizotengwa kwa ajili ya miradi ya umeme. Tume ya kupambana...
0 Reactions
3 Replies
232 Views
  • Redirect
TRUMP KUPOKELEWA NA MAAFISA WADOGO BEIJING BADALA YA XI JINPING: DHARAU YA KIDIPLOMASIA AU UJUMBE WA KIJASUSI KATIKA VITA VIPYA VYA DUNIA? Wakati Donald Trump alipowasili Beijing kwa mazungumzo...
4 Reactions
Replies
Views
Wako wapi wale makenge waliye sema Hezbullah imekwisha Echolima1 Mzee Kigogo Mlaleo Nendeni mkawasaidie mashogo wenzenu kule Lebanon wanacharazwa vibaya sana mpaa magazeti ya mashoga wenzenu...
8 Reactions
62 Replies
1K Views
Msikilize mwenyewe. https://youtube.com/watch?v=jVs4NBoHZic&si=JzFKdd-vhBYoxp9O
0 Reactions
11 Replies
154 Views
DRAMA IN THE DIASPORA UK Nurse Challenges London Gossip Blogger Over “Cancel God” Comment as NLP UK Conference Debate Trends Online LONDON, United Kingdom — Heated conversations erupted across...
0 Reactions
0 Replies
95 Views
Wanaukumbi. Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Bagher Ghalibaf, amesema hakuna njia nyingine isipokuwa kukubali haki za wananchi wa Iran kama zilivyoainishwa katika pendekezo la vipengele 14...
4 Reactions
20 Replies
451 Views
Serikali ya Ghana imetangaza kuwahamisha raia wake 300 kutoka Afrika Kusini, kufuatia kuongezeka kwa vitendo vya chuki dhidi ya wageni nchini humo katika wiki za hivi karibuni. Katika ujumbe...
2 Reactions
2 Replies
149 Views
Mwanajeshi mwingine wa Idf akutwa na tuhuma ya kudhalilisha sanamu ya mama Maria kwenye mji wa kikristo lebanon. Mwanajeshi huyo akionekana kwenye picha akimdhihaki mama yake yesu kwa kuvutisha...
4 Reactions
17 Replies
373 Views
Je unahisi hapa Raisi Jinping anafikiria nini hapa baada ya kutembelewa na Trump
0 Reactions
2 Replies
209 Views
Nyaraka kutoka ufukweni kusini mwa Lebanon zinaonyesha mizoga ya magaidi wa Hezbollah waliouawa katika siku za hivi karibuni na sasa zinaozeana na kukaushwa na jua la jangwani tu. Magaidi wa...
1 Reactions
9 Replies
282 Views
Habarini wandugu Kwa sasa kinachoendelea Hormz tunasubiri tuona uingereza na ufaransa kama wataufungua mlango wa Hormz. Wametuma meli za kubeba ndege na wanajeshi. Hapa naona ufaransa ana hasira...
1 Reactions
4 Replies
307 Views
Mahakama Kuu ya FCT iliyopo Maitama, Abuja, Jumatatu ilitoa hati ya kukamatwa kwa aliyekuwa Waziri wa Nishati nchini Nigeria, Saleh Mamman, baada ya kushindwa kufika mahakamani katika kesi ya...
0 Reactions
0 Replies
118 Views
Idadi ya Wabunge wa Chama cha Labour wanaomtaka Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, kujiuzulu imeongezeka na kufikia 70, kwa mujibu wa taarifa zilizoripotiwa na BBC. Miongoni mwa Viongozi...
0 Reactions
0 Replies
182 Views
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amekataa kujiuzulu baada ya Mahakama ya Katiba kuamua kuwa wabunge hawakupaswa kuzuia mchakato wa kumwondoa madarakani dhidi yake mwaka 2022. Inasemekana...
0 Reactions
1 Replies
220 Views
Mazishi ya Azam al-Hayya, mwana wa Khalil al-Hayya, kiongozi mpya wa Hamas, ambaye alikuwa gaidi hai wa Nukhba (kitengo cha wasomi), yanafanyika leo huko Gaza. Aliondolewa jana pamoja na magaidi...
3 Reactions
18 Replies
398 Views
Back
Top Bottom