Jamani Kimyaa sana Ubalozi wa Marekani hawajampongeza wala kutoka taarifa za aliyeshinda Urais wa Marekani waliishia Ku tweet wakati matokeo yanatoka baada ya hapo Kimyaa hadi sasa.
Sijui Kimyaa...
Nani walimpigia kura Donald Trump?
Nani walimpigia kura Trump?
53%
ya wanaume - 41% walimpigia Clinton
42%
ya wanawake - 54% walimpigia Clinton
58% ya Wazungu - 37% walimpigia Clinton
8%...
Bwana Joshua aliwaambia wafuasi wake siku ya Ijumaa kwamba ameona mwanamke akishinda. Baada ya Donald Trump kushinda kwa wingi wa kura katika uchaguzi wa Jumanne ,wageni katika ukurasa wa facebook...
Salam Comrades..
Napenda kuelekeza uzi huu kwa Mzee Mwanakijiji atupatie walau neno kufuatia matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Rais kule Marekani ambapo Donald Trump ameshinda.
Nini mtazamo wako...
Apart from all odds known to Germany, it setted a precedence to the entire world that women have capability like their fellow men. Their cansellor Angela Merkel, won election twice. This shows...
Mzungu hawezi kukubali kupoteza Afrika hata siku moja na wewe J.Zuma unajaribu kumyang'anya Mzungu tonge mdomoni kwa kuanza kujitoa ICC, sasa Mzungu ana hit back, na maandamamo yameshaanza na...
Kwa nini si Hilary Clinton? Ndilo swali ambalo linaulizwa kila kona baada ya mgombea huyo wa chama cha Democtratic kuangushwa na Donald Trump wa Republican katika Uchaguzi Mkuu wa Marekani.
Si...
Habari ambaz0 hazikutegemewa kwa ushindi wa Donald trump dhidi ya Hillary Clinton imeanza kuzama marekani kote na duniani kwa watu hao kujiuliza swali moja,inawezekanaje hii kutokea?,na nani wa...
Licha ya Rais Obama kuhimiza umoja na Bi Clinton kuwaambia wafuasi wake kwamba Bw Trump anafaa kupewa "nafasi ya kuongoza", ushindi wake umezua maandamano katika miji na majimbo kadha Marekani...
Katika hali ambayo haikutarajiwa na wengi Donald J Trump ameibuka na ushindi wa kutosha dhidi ya Hilary Clinton aliungwa mkono na Rais wa sasa na baadhi ya marais wastaafu. Kwenye uchaguzi huu...
I congratulate Mr. Donald Trump on his election as the President of the United States of America. Elections in the US or any country are a matter for the people of that country.
Our relationship...
Johannesburg, Africa Kusini
Hisia kali zimetolewa mitandaoni baada ya mwanamume mzungu kuonekana akimwingiza mwanamume mweusi kwenye jeneza kwa lazima huku akitishia kumchoma akiwa hai
Video...
Masoko ya hisa duniani yameanza kulegalega na yale ya Marekani yakielekea kwenye anguko kubwa kutokana na matokeo ya Urais wa nchi hiyo yanayoendelea kutoka, kuwashangaza wawekezaji duniani...
Mama Clinton kubali umashindwa kwa hoja! Cha ajabu hivi sasa unatoa viroja!
Clinton na wafuasi wake hivi sasa wanalalama na kulia kilio cha wachawi kuwa Marekani imegawanyika kutokana na ushindi...
Haya Bw. Donald J. Trump ndo rais mteule wa taifa bora kabisa duniani.
Kabla ya uchaguzi 'wajuvi' wa mambo walitabiri kuwa atagaragazwa vibaya mno na bibi Hillary Clinton.
Hata mi mwenyewe...
Kuna Watu nashindwa kuwaelewa kabisa humu JF halafu nadhani ni ' wageni ' kwangu kwani kuna siku moja niliandika kitu humu tena nikiwa tu katika hali ya ' mizaha ' yangu kuwa Mama Clinton...
Imekuwa ni kawaida ya viongozi wanaojiita wa kiroho kutoa tabiri mbalimbali na shuhuda kemkem katika jitihada za kujiongezea wafuasi (kondoo/waumini).
Nakumbuka miaka ya nyuma Tanzania tulikuwa...
TAREHE 8/11/2016 NI SIKU YA KUAMUA NANI AWE RAIS WA MAREKANI KATI YA HILLARY CRINTON NA DORNALD TRUMP.
•Na ujue mfumo wa electoral college unaoamua nani atakaye hudumu white house.. Kama raisi...
Kama atashindwa ntaendelea kuishi Tanzania
Iwapo atashinda Clinton nawambiia nyumba nawapa naondoka na begi la mgongoni nawaachia nchi yenu
Welcome our next president of USA Donald Trump
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.