Kwanini Marekani kuna vyama viwili tu vya Siasa tofauti na baadhi ya nchi nyingine??
Na je mtu akitaka kuanzisha chama chake cha Siasa anaruhusiwa kwa Sasa?
Japan imesaini mkataba wenye utata wa kuiuzia vifaa na teknolojia ya nguvu ya nyuklia nchi ya India. Hii ni mara ya kwanza kwa Japan kufanya makubaliano kama hayo na nchi ambayo sio mwanachama wa...
Hizi kampeni zilikuwa na vituko sana mwaka huu.
Kabla ya uchaguzi wote hawa walikuwa wanaonekana vituko tu.
Lakini baada ya uchaguzi naona heshima imewekwa mbele.
November 11, 2016
Facebook Bug Declares Many Users Dead, Including Mark Zuckerberg
Relax, your friends didn’t all just suddenly die: A short-lived bug on Friday caused Facebook to switch...
November 11, 2016
Washington D.C USA
Former U.S. ambassador banned from traveling to Russia
By Associated Press
The former U.S. ambassador to Russia said Friday that he has been banned from...
:D:D:D:D:D
Nilijua tu...wote hao walikuwa wanabipu tu. Nani ahame Marekani kisa rais ni Donald Trump....hakuna hiyo.
Celebrities who had promised to leave for Canada and beyond decide to stay...
Rais Yoweri Kaguta Museveni akicheza mpira leo wakati wa ufunguzi na maandalizi ya timu ya taifa ya Uganda kabla ya mechi ya kwanza ya kuwania kucheza kombe la dunia kati ya Uganda Cranes na Congo...
Bi Hillary Clinton ndiye mwanamke wa kwanza kuteuliwa na chama kikubwa kuwania urais Marekani
Japo ni jambo ambalo linaamuliwa katika saa chache zijazo, ni jambo ambalo wengi wanasubiri kwa hamu...
Hii picha imepigwa siku moja baada ya uchaguzi na mdada ambaye alikuwa akitembea kwenye milima huko Chappaqua, NY.
Bill na Hillary walikuwa wakitembea na mbwa walipokutana na huyo mdada...
Kifaa kikubwa cha chuma kimeanguka kutoka angani katika eneo la migodi Kaskazini mwa Myanmar
Kifaa hicho cha muundo wa mviringo, kilichopatikana siku ya Ijumaa katika jimbo la Kachin, kina urefu...
Shambulizi la angani nchini Somalia ambalo Marekani inasema kuwa lililenga wanamgambo wa al-Shabab liliwaua wanachama kumi wa kundi mshirika eneo hilo.
Marekani inasema iliendesha shambulizi hilo...
Mahakama ya katiba ya Italia imetoa hukumu dhidi ya sheria inayompatia moja kwa moja mtoto anayezaliwa ndani ya ndoa jina la baba yake.
Mawakili walidai kuwa kuzuwia familia kuwapatia watoto wao...
Last night, I congratulated Donald Trump and offered to work with him on behalf of our country. I hope that he will be a successful president for all Americans.
This is not the outcome we wanted...
Muslim Students Attacked On US College Campuses In ‘Trump-Related’ Incidents
One of the women was beaten with a metal object.
15 hours ago
Jasmin Gray Students Reporter, The Huffington Post UK...
Askofu mkuu wa Afrika Kusini Desmond Tutu amesema katika ujumbe wake wa siku yake ya kuzaliwa katika gazeti la Washington Post kwamba angependelea kusaidiwa kufa.
Katika ujumbe huo Tutu alisema...
Watu watatu wamedungwa visu katika mapigano kati ya kundi linalowachukia watu weusi la Ku Klux Klan (KKK) na waandamanaji wanaowapinga katika jimbo la California.
Tukio hilo lilitokea karibu na...
Wazungu wanaitaka nchi yao, Wazungu nawapendea hapa tu, wanajitambua sana hawataki ushenzi na siyo kama sisi mgeni ndiyo Mungu halafu sisi ndiyo vijakazi kwenye nchi yetu wenyewe!
Tanzania...
Leo tarehe 10 Obama amemuita Trump ikulu ya White house ili kumpa seminar elekezi kabla ya kupewa office mwaka kesho January.
Ataendelea kupewa maelekezo na vielelezo mbali mbali jinsi ya kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.