International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Wakuu habari ndo hii, Jamaa wamekula ganzi kishenzi, Trump jeuri hataki kujishusha. Obama kauzu hataki kuonyesha kujutia kwa yale aliyotamka hapo mwanzo wakati kampeni zikianza. Wacheki hapa
7 Reactions
76 Replies
9K Views
Wamejitokeza barabarani wakiimba kwa sifa na kusheherekea ushindi wa Trump. Wafuasi wengi wa ISIS wanategemea vita vya wenyewe kwa wenyewe ndani ya Marekani na kwamba hiyo ndio itakua anguko la...
0 Reactions
47 Replies
7K Views
Katika mambo yoote niliyosikia kuhusu Mke wa D.Trump, Melania Trump sijawahi kusikia Wazungu wakicheka lafudhi ya Kiingereza chake, huyu Mama anatokea nchi ya Slovenia ambayo iko Ulaya ya...
1 Reactions
51 Replies
5K Views
Watu kwa maelfu katika baadhi ya miji mikubwa nchini Marekani wanaandamana kupinga ushindi wa Rais mteule, Donald Trump kuwa Rais wa 45 wa Taifa hilo. Baadhi ya waandamanaji wamekusanyika nje ya...
10 Reactions
190 Replies
31K Views
Muda wa Michezo umekwisha sasa, kila la heri kaanzishe NGO yakusaidia Afrika uje utupige porojo, mpishe D.Trump apige kazi to make America Great Again!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Siasa za kweli zipo USA trust me siyo hapa bongo maelfu ya watu wanaandamana lkn hakuna washa washa hakuna nini unadhani malekani hawana washa washa heeeee wanafata katiba uwezi kumpiga Raia ndani...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Uchaguzi wa Marekani umemalizika kwa Mr Trump kutangazwa kuwa mshindi kinyume na matarajio ya watu wengi akiwemo Tb Joshua. kilichonivuta nyuma ya keyboard ni hotuba ya bi Hirary Clinton...
1 Reactions
46 Replies
3K Views
Prime Minister Theresa May has been warned by a leading German politician that she is 'delusional' if she believes she can get a good trade deal from Donald Trump. Axel Schafer, a senior member...
0 Reactions
1 Replies
547 Views
Ndugu wana JF naomba msaada kidogo kueleweshwa juu ya ushiriki au uhusika wa Fremason kwenye uchaguzi wa USA TAR 11.9 MLIPUKO PALE PENTAGON TAR.9.11 uchaguzi huwa nasikia hao wakubwa wanachezaga...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
November 10, 2016 at 11:31 am By Daniel Sabiiti Cable car would make access to mount Karisimbi summit easy Rwanda has found an investor ready to implement the ambitious cable car project which...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kutana na wale wanaotarajiwa kuwa mawaziri wa Trump. Source: BBC Image Hili huenda likawa baraza la mawaziri la Trump Kwa sasa kilicho kwenye akili za wengi ni kuhusu nani watapewa...
0 Reactions
0 Replies
718 Views
Katika soma soma news mtandoni leo nimeona makala zikielezea Bilionea tapeli R Allen Stanford ambaye alineemeka na pesa za watu kwa kwa style ile iayojulikana kwa wengi hapa bongo kama UPATU...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kifaa kikubwa cha chuma kimeanguka kutoka angani katika eneo la migodi Kaskazini mwa Myanmar Kifaa hicho cha muundo wa mviringo, kilichopatikana siku ya Ijumaa katika jimbo la Kachin, kina urefu...
1 Reactions
3 Replies
5K Views
Maandamano ya Wamarekani dhidi ya Trump yameingia siku ya tatu sasa. Maandamano hayo yanaonekana kuwa na dhima kuu 3: 1. Wengi wa waandamanaji hasa hawapingi ushindi wake ila wana hofu kuwa...
7 Reactions
26 Replies
3K Views
HOTUBA YA WAZIRI MKUU WA ISRAEL NETANYAU KUHUSU AFRIKA. Hatujiwajibishi hata kidogo kujaribu kuthibitisha au kudokeza kwa kila mtu na kwa Waafrika na Waarabu kuwa Sisi (Weupe) tu watu tuliobora...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Kwanini Marekani kuna vyama viwili tu vya Siasa tofauti na baadhi ya nchi nyingine?? Na je mtu akitaka kuanzisha chama chake cha Siasa anaruhusiwa kwa Sasa?
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Japan imesaini mkataba wenye utata wa kuiuzia vifaa na teknolojia ya nguvu ya nyuklia nchi ya India. Hii ni mara ya kwanza kwa Japan kufanya makubaliano kama hayo na nchi ambayo sio mwanachama wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hizi kampeni zilikuwa na vituko sana mwaka huu. Kabla ya uchaguzi wote hawa walikuwa wanaonekana vituko tu. Lakini baada ya uchaguzi naona heshima imewekwa mbele.
0 Reactions
2 Replies
755 Views
November 11, 2016 Facebook Bug Declares Many Users Dead, Including Mark Zuckerberg Relax, your friends didn’t all just suddenly die: A short-lived bug on Friday caused Facebook to switch...
0 Reactions
5 Replies
965 Views
November 11, 2016 Washington D.C USA Former U.S. ambassador banned from traveling to Russia By Associated Press The former U.S. ambassador to Russia said Friday that he has been banned from...
0 Reactions
0 Replies
626 Views
Back
Top Bottom