Raia wa Marekani kesho wanapiga kura ya kumchagua Rais atakayeliongoza taifa hilo kwa kipindi cha miaka minne ijayo.
Katika uchaguzi huo Mgombea DONALD TRUMP wa chama cha Republican atachuana...
Naona watu wengi wanajadili sana uchaguzi wa marekani na ushindi wa trump, wengine wanaponda wengine wanapongeza, em tuwe na akili, tusianze kumjadili mtu kabla ya kuona utendaji wake ukoje...
D.Trump!
Chama cha D.Trump Republican siyo tu kimeshinda uchaguzi bali pia kimechukuwa viti vingi zaidi kwenye Bunge (Senate) la USA hivyo D.Trump kama vile
Pombe Magufuli(PhD) wetu anaongoza...
In a message to Donald Trump, Russian President Vladimir Putin has expressed confidence that the dialogue between Moscow and Washington, in keeping with each other’s views, meets the interests of...
Crude prices slumped on Wednesday, with investors selling off as vote counting showed Donald Trump winning the US presidential election.
North Sea benchmark Brent dropped by 1.3 percent, trading...
Huyu mgombea wa Marekani bwana Trump ambaye nimempa jina la MAGUFULI sababu wana tabia zinazofanana kwa asilimia nyingi.
Huyu bwana wa Republic pamoja na mapungufu yake ila ni kiongozi bora...
Kwanini mnaonyesha upendeleo wa wazi kabisa kumpendelea mgombea urais wa Marekani Hillary Clinton, je kwanini mnamuogopa Donald Trumph,Acheni upendeleo
Katika kile kinachoonekana kukwepa lawama kutoka kwa wanachama wenzake wa Republican, Rais mstaafu wa Marekani wa awamu ya 43, George .W. Bush na mkewe Laura kupitia kwa Mkurugenzi wao wa...
Wana bodi,
Ninawaomba serikali ya Tanzania iandae pongezi kwa Marekani kwa kupatikana Rais wa 45 wa taifa hilo kubwa na lenye demokrasia pana.
Tangu kuchaguliwa kwa Rais Magufuli hajawahi...
Vyombo vya habari vya Nchi ya Malawi vimetangaza kutotangaza habari zozote zinazomuhusu Rais wa Taifa hilo Peter Mutalika. Hii ni baada ya kuona vinakandamizwa Uhuru wao kwa Kuambiwa lipi la...
Nilisikia kauli ile ila sikujua hasa kwanini alisema kauli ile.Hata hivyo niliikubali sana.
Sababu kubwa ya kwanini niliikubali ni kwamba, wazungu wana aibu wanapofanya mambo mabaya dhidi ya...
Mimi ni miongoni mwa watanzania wanaopinga baadhi ya tafiti zinazotoa majibu potofu kwa jamii. Uchaguzi wa Marekani pia umeonyesha kuwa sio kila anayeongoza kwenye kura za maoni anaweza kuibuka...
Mtandao wa Uhamiaji wa nchini Canada wapata hitilafu baada ya kuzidiwa kufuatia watu wengi kutembelea mtandao huo wakitaka kuhamia nchini humo kufuatia ushindi wa Trump.
Watumiaji wengi wa...
habari wadau..
wazungu wametufundisha kitu kwamba mzawa kwanza.. wamechoka na wageni na wahamiaji kufaidika marekani kuliko wao wazawa...
unemployment inakuwa kubwa kwa wazawa huku wageni...
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana mchakato wa kugombea nafas ya Urais nchini Marekanina mengi nimejifunza nikihusisha na siasa zetu. Nikakumbuka kitabu kimoja nilikisoma zaman sana cha DANIEL...
Hillary Clinton and Donald Trump are separated by only two percentage points in a new Washington Post-ABC News tracking poll, ending a week in which the race has tightened as core Republican...
Haaahah yaani Africa tulizidi kuwasemea marekani na tayari tulikuwa na rais wao wakati America ni ya kwao na maamuzi ni ya kwao wenzetu hawajaendeshwa na mihemuko wala mchecheto wanajua nani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.