Jamani Kimyaa sana Ubalozi wa Marekani hawajampongeza wala kutoka taarifa za aliyeshinda Urais wa Marekani waliishia Ku tweet wakati matokeo yanatoka baada ya hapo Kimyaa hadi sasa.
Sijui Kimyaa kimesababishwa na nini?
Chadema au CCM? si nasiskia anataka Kufunga Ubalozi.Raisi akitoka chama kingine uwezekano ni mkubwa balozi na wasaidizi wake watafungashwa virago na Trump.Trump ataleta balozi mpya na maafisa ubalozi wapya.CHADEMA poleni zile hodi hodi ubalozini zinaelekea ukingoni.Trump si mnamjua kudeka kwenu na kuvunja vidole ubalozini kumefikia mwisho
Raisi akitoka chama kingine uwezekano ni mkubwa balozi na wasaidizi wake watafungashwa virago na Trump.Trump ataleta balozi mpya na maafisa ubalozi wapya.CHADEMA poleni zile hodi hodi ubalozini zinaelekea ukingoni.Trump si mnamjua kudeka kwenu na kuvunja vidole ubalozini kumefikia mwisho