Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,027
- 142,928
Haya Bw. Donald J. Trump ndo rais mteule wa taifa bora kabisa duniani.
Kabla ya uchaguzi 'wajuvi' wa mambo walitabiri kuwa atagaragazwa vibaya mno na bibi Hillary Clinton.
Hata mi mwenyewe nilidhani kuwa atagaragazwa. Nilikosea sana kudhani hivyo.
Sasa kuna hawa maselebrite wa Marekani waliotoa matamshi kwamba eti Trump akichaguliwa basi wanahama kutoka Marekani kwenda kuishi nchi zingine.
Sidhani kama kweli walikuwa wanamaanisha walichokisema. Lakini ngoja tuone.
Nina hamu kubwa sana ya kuona kama kweli wataondoka Marekani. Nasema na wahame tuone basi😀.
USA baby....