Rais Museveni kwa sinema hakuna mfano wake

Rais Museveni kwa sinema hakuna mfano wake

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,276
1478876246220.jpg
Rais Yoweri Kaguta Museveni akicheza mpira leo wakati wa ufunguzi na maandalizi ya timu ya taifa ya Uganda kabla ya mechi ya kwanza ya kuwania kucheza kombe la dunia kati ya Uganda Cranes na Congo Brazzaville hapo kesho
1478876546119.jpg
Ni siku chache tu tangu Rais Museveni alipokuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuonekana akikokota baiskeli yenye maji kwenda kumwagilia mimea
1478876746878.jpg
Yote yanajiri baada kuwa gumzo siku za nyuma baada kuamua kumsimamisha msafara ili aongee na simu
1478876892367.jpg
Kulitokea na mambo ya Ndondi hapa akiwa na Moses Golola, bondia wa Uganda na mwenye taji la Afrika uzani wa Middle
1478877130216.jpg

Shikamoo..!! Yoweri Kaguta Museveni
 
Uyu chief namkubali sana kwa maigizo ila Miafrika ndio tunapenda kudanganywa namna hii na hata head boy wetu nae si haba kwa maigizo sema anakosea location naamini akipati tu location atakua muigizaji bora kuliko Museveni.
 
Hahahaha hiyo picha ya mwisho anayopanga mkono na uyo bondia ova anacheza danso
 
Uyu chief namkubali sana kwa maigizo ila Miafrika ndio tunapenda kudanganywa namna hii na hata head boy wetu nae si haba kwa maigizo sema anakosea location naamini akipati tu location atakua muigizaji bora kuliko Museveni.
Alitudanganya na PUSHAPU[emoji4] [emoji4]
 
Wananchi wakiona hivyo wanatabasamu hadi jino la mwisho wanasahau kila kitu. Haifai kitu unajifanya unawapenda watu wako ilihali unawatawala kibabe.
 
Wananchi wakiona hivyo wanatabasamu hadi jino la mwisho wanasahau kila kitu. Haifai kitu unajifanya unawapenda watu wako ilihali unawatawala kibabe.
Ni mbinu ya kuwateka wananchi kifikra.. kama Mobuto walivyowazoeza watu katika mziki kisha mambo mengine yakisahaulika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom