Obama amuita Trump ikulu leo

Obama amuita Trump ikulu leo

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,680
Reaction score
58,677
Leo tarehe 10 Obama amemuita Trump ikulu ya White house ili kumpa seminar elekezi kabla ya kupewa office mwaka kesho January.

Ataendelea kupewa maelekezo na vielelezo mbali mbali jinsi ya kufanya kazi Mara tu atakapoingia madarakani.

Obama amesikika akisema Karibu Trump Rais mpya wa Marekani nakukaribisha white house kuanzia kesho yaani Leo tarehe 10 ili kuanza kuchukua maelekezo mbali mbali jinsi ya kutawala nchi..
 
Obama anamkaribisha vizuri tu huyo punguani
i. Anajua kabisa hapawezi pale.
Rudi Obama kogello Kenya ukale kuku wa kienyeji na kunywa kimpumu.
Nilikuelewa sana pale kwenye hotuba yako mpk ukatoa mchozi ukisema 'naota siku moja niwe mtu huru, sina walinzi niweze kuongea na niwapendao nipendapo. nije Nairobi nnapotaka, nicheze na wanangu."
Akasema miaka 10 ya utawala wake kachoka vibaya sana, anashangaa sana anapoona Africa kiongozi anangangana tu miaka karne na miaka
kuwa madarakani
 
Tofautisha kati ya Uongozi ni Accountability to people na Uongozi ni source of Income. USA na nchi zetu, acha niishie tu hapo. Mtu anagombea ubunge tu anakopa, anauza mali ili aupate, anapigana na wenzake live mtu na familia, then ukifikria anagombea akuwakilishe utasubiri sana.
 
Obama anamkaribisha vizuri tu huyo punguani
i. Anajua kabisa hapawezi pale.
Rudi Obama kogello Kenya ukale kuku wa kienyeji na kunywa kimpumu.
Nilikuelewa sana pale kwenye hotuba yako mpk ukatoa mchozi ukisema 'naota siku moja niwe mtu huru, sina walinzi niweze kuongea na niwapendao nipendapo. nije Nairobi nnapotaka, nicheze na wanangu."
Akasema miaka 10 ya utawala wake kachoka vibaya sana, anashangaa sana anapoona Africa kiongozi anangangana tu miaka karne na miaka
kuwa madarakani
Haya umetunga au umemsikia mwenyewe akisema? OBAMA hajaiongoza US kwa miaka kumi, aache uongo, au kama ni wewe acha uongo.
 
Afrika ingeleta shida Tanzania mpaka wanasema hatuwezi kumwachia nchi mtu Fulani huwezi kujivunia utanzania
 
sisi huku akina Mkapa,JK,Mwinyi,Nnape, jecha, lubuva, na CCM yao hata baada ya uchaguzi ni mipasho tu.
Hii ya USA ni demokrasia halisi,polisi wako mbali na siasa.Acha akina Kova,ambao ni makada wa CCM eti ni askari!!!!!!!@@!

Wakina mkapa na mwinyi nape Jk wangekataa katakata utafikiri nchi wamekatia ati miliki Viongonzi wa Afrika wasipoenda demokrasia jana ndo walikua wa kwanza kumpongeza tramp
 
Obama amekonda siku mbili tu,anatia huruma sana,alitegemea sana hilary atatoboa,
chama kimepoteza viti kiasi kuwa maamuzi yote yatafanywa na republican,
kweli mkosi kabambe,

Cw1VfPoVQAAEBGh.jpg:small
.

Cw6gxvbUkAAPG17.jpg:small
 
Back
Top Bottom