Kwa mara ya kwanza Rais wa Zimbabwe Robert G. Mugabe amedokeza mpango mkakati wake wa kung'atuka madarakani japo hakuweka bayana.
Rais Mugabe alikua akizungumza na kundi la askari waliopigania...
Juzi Raisi wa USA Obama alikuwa Ulaya kama safari yake mwisho na aliwaaga Wazungu, leo hii yuko Lima pia kwa lengo hilo hilo la kuwaaga Waasia na Wamrekani Kusini, akiwa Raisi wa USA, Je vipi sisi...
Serikali ya Israel imetangaza mpango wa kufanyia marekebisho kanuni ya marufuku dhidi ya matumizi ya vipaza sauti kwa ajili ya adhana misikitini.
Mabadiliko hayo yataruhusu adhana kutolewa...
November 20, 2016
Kampala, Uganda
Anglicans dominate 10th Parliament in Uganda
During the campaign of 1962, the Democratic Party (DP) was popularly known as “Dini ya Papa” (Religion of the Pope)...
Mwanamme mmoja raia wa Nigeria amenyongwa kwa kuhusika kwenye ulanguzi wa Madawa ya Kulevya baada ya kupatikana na kilo 2.6 za bangi.
Mwanamme huyo Chijioke Stephen Obioha mwenye miaka 38...
Habari za jumapili wadau.
Bwana asifiwe kwa wenzangu wakristu.
Sasa nikienda moja kwa moja kwenye mada. Ni kwamba kuna picha za utata kidogo zimepatikana huko mtandaoni zikimuonyesha raisi...
UPDATE
Idadi ya watu waliopoteza maisha kufuatia ajali ya treni yaongezeka kutoka watu 70 wa awali na kufikia Watu 120 huku wengine 200 wakielezwa kujeruhiwa kaskazini mwa India.
Ajali hiyo...
Taifa kubwa lenye kujipambanua kama baba wa demokrasia duniani, lenye idadi ya watu zaidi ya 324 milioni kwa makadirio ya sasa au 309 milioni kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2010, linawezaje...
Mwendesha mashtaka mmoja nchini Korea Kusini amesema kuwa Rais wa Park Geun-hye anahusika kwenye sakata la ufisadi ambalo marafiki wake wawili wa karibu wanachunguzwa.
Hatua hhi inategemewa...
Yaani huyu jamaa anaheshimika si mchezo
UJERUMANI yote imesimama,anapewa heshima ja juu sana kiongozi huyu.
Vyombo vyote vya habari siku mbili nzima ni Obama
Wanatangaza zaidi ya 90% ya...
Maelfu ya watu nchini Malaysia wamemiminika katika bara bara za mji mkuu wa Kuala Lumpur, kumtaka waziri mkuu Najib Razak, kujiuzulu kutokana na madai ya kuhusika kwake na na kashfa ya ufisadi...
Wakili wa rais mteule wa Marekani Donald Trump ametatua kesi ya mamilioni ya madola iliyokuwa inamkabili mteja wake ili apate nafasi ya kutekeleza majukumu yake mapya na kuangazia changamoto...
Mwanamume aliyejiwasha moto ndani ya Benki moja mjini Melbourne, Australia hapo jana ametambuliwa.
Yasemekana mtu huyo anatokea Myanmar na amekuwa akitafuta hifadhi nchini Australia. Habari zaidi...
The man whom President-elect Donald Trump picked as his national security adviser has said he doesn’t believe that all cultures are “morally equivalent” and once described Islam as "a cancer,"...
Rais wa Urusi Vladmiri Putin ametia saini maagizo ya kumuamuru Waziri wa Mambo ya Nje kumpa taarifa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuwa Urusi inajisitisha kuwa mjumbe wa Mahakama ya Kimataifa ya...
NIGERIA: Kijana mmoja akamatwa akiwa uchi alipokuwa akiiba nyama katika Bucha. Imedaiwa Mganga wa kienyeji alimpa dawa itakayomsaidia kutokuonekana.
Tukio hilo la kusaajabisha limetokea katika...
U.S. Senator Jeff Sessions
U.S. President-elect Donald Trump has tapped three senior leaders of his national security and law enforcement teams, choosing Senator Jeff Sessions for attorney...
Wapwa wawili wa Rais wa Venezuela, Nicolás Maduro wamepatikana na hatia ya kuingiza Marekani takribani Kilogramu 800 za Mihadarati aina ya Cocaine.
Uchunguzi uliofanywa na Maafisa wa Marekani...
"Very unfortunate Donald Trump and Vladimir Putin call themselves friends. We all know one of them should be bigger than another. It is just a matter of time"