Huko Marekani weusi wanakwisha...


1

1954

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2006
Messages
5,320
Likes
2,957
Points
280
1

1954

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2006
5,320 2,957 280
_90302730_033910139.jpg

US protests after police shooting of black man in Louisiana
_90302728_033910189.jpg
Image copyright AP
Image caption Protests broke out near the scene of the shooting
Protests have taken place in the US state of Louisiana after a video emerged appearing to show two white police officers holding down and shooting dead a black man.

The incident took place in the state capital, Baton Rouge, on Tuesday after reports of a man threatening people with a gun outside a shop.

A post-mortem examination showed the victim, Alton Sterling, 37, died of gunshot wounds to the chest and back.

Protests later blocked nearby roads.

The crowd of about 200 people was moved on by police but organisers say they will reassemble in front of City Hall.


The incident comes amid heightened tension in the US over the deaths of African-American men at the hands of police.

There are more than 1,000 deadly shootings by police in the US each year, and those killed are disproportionately black Americans.

  • Police spokesman Cpl L'Jean McKneely said the officers had been called in after reports that a man selling CDs outside a convenience store had threatened someone with a gun.

He said that the two officers involved had since been placed on administrative leave, which is standard procedure.

Mr Sterling, a father of five, died at the scene.

Reporter Brittany Weiss from local TV station WBRZ told the BBC's Newsday programme that the video footage, which emerged hours after the shooting, showed the officers having an altercation with the man in a car park.

"The police officers bring this man down to the ground and then you hear more of an altercation," she said.

"Then you hear three gunshots and two other shots that are muffled and then you hear someone say 'he has a gun' during that exchange."

========

Mtu mweusi mwingine ameuawa na polisi...Polisi waliofanya mauaji hayo ni wazungu au watu weupe...Kazi ipo kweli kweli huko Marekani...UBAGUZI WA RANGI bado upo..hakuna cha Haki za binadamu wala nini...
 
Bandiwe

Bandiwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2013
Messages
7,816
Likes
2,585
Points
280
Bandiwe

Bandiwe

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2013
7,816 2,585 280
Ngongo
 
M

muongozaji

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2009
Messages
1,381
Likes
961
Points
280
M

muongozaji

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2009
1,381 961 280
Very sad indeed...
 
kagwima

kagwima

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2016
Messages
660
Likes
476
Points
80
kagwima

kagwima

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2016
660 476 80
USA baby
So sad
 
strong ruler

strong ruler

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2013
Messages
4,813
Likes
2,093
Points
280
strong ruler

strong ruler

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2013
4,813 2,093 280
Ingekuwa kwa wale wajomba zetu hii habari imetoka kwa waarabu uzi ungekuwa page ya 10 lakini mzungu hutasikia watu kutokwa povu hapa
Wewe ni mwaarab wa wapi twaibu?
 
Bandiwe

Bandiwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2013
Messages
7,816
Likes
2,585
Points
280
Bandiwe

Bandiwe

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2013
7,816 2,585 280
Ingekuwa kwa wale wajomba zetu hii habari imetoka kwa waarabu uzi ungekuwa page ya 10 lakini mzungu hutasikia watu kutokwa povu hapa
Ngongo haji hapa !
 
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Messages
30,043
Likes
5,215
Points
280
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined Dec 9, 2010
30,043 5,215 280
Black-AFRO NEGRO
 
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
80,791
Likes
46,208
Points
280
Age
28
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
80,791 46,208 280
Nani anaweza kuniwekea takwimu za mauaji ya weusi kwa weusi na yale ya weusi wanaouliwa na polisi wa Kizungu.
 
merengo90

merengo90

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Messages
6,589
Likes
2,447
Points
280
merengo90

merengo90

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2013
6,589 2,447 280
Nani anaweza kuniwekea takwimu za mauaji ya weusi kwa weusi na yale ya weusi wanaouliwa na polisi wa Kizungu.
Hao weusi wa weusi wana uana kisa nini??

Hiii takwim ndio ita justfy mauaj hayo??
 
gnassingbe

gnassingbe

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2015
Messages
4,003
Likes
2,059
Points
280
gnassingbe

gnassingbe

JF-Expert Member
Joined Jun 14, 2015
4,003 2,059 280
Nani anaweza kuniwekea takwimu za mauaji ya weusi kwa weusi na yale ya weusi wanaouliwa na polisi wa Kizungu.
Wewe si uko huko utujuze sasa niaje aisee!
 
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
80,791
Likes
46,208
Points
280
Age
28
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
80,791 46,208 280
Hao weusi wa weusi wana uana kisa nini??
Sijauliza wanauana kisa nini. Hujui kusoma na kuelewa?

Hiii takwim ndio ita justfy mauaj hayo??
Hapana, hazihalalishi bali zinaweka mambo kwenye muktadha wake sawia.

Haya, unaweza kunipa?
 
chazy255

chazy255

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2016
Messages
942
Likes
896
Points
180
chazy255

chazy255

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2016
942 896 180
Hao wamarekani wanauliwa kwa ubaguzi hakuna zaidi tofauti na weusi wenywe wanaouana kwa sababu ya migogoro ya kisiasa kwenye nchi zao. Unataka kuhararisha mauaji ya afro negro huko kwenu na vurugu za kisiasa.
 
David Harvey

David Harvey

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2014
Messages
1,764
Likes
1,443
Points
280
David Harvey

David Harvey

JF-Expert Member
Joined Jul 17, 2014
1,764 1,443 280
Nani anaweza kuniwekea takwimu za mauaji ya weusi kwa weusi na yale ya weusi wanaouliwa na polisi wa Kizungu.
South afrca wameua sana weusi wenzao kwa ubaguzi na bado wanaendelea kuuana chini chini
 
Lizarazu

Lizarazu

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2015
Messages
3,430
Likes
3,448
Points
280
Lizarazu

Lizarazu

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2015
3,430 3,448 280
Nani anaweza kuniwekea takwimu za mauaji ya weusi kwa weusi na yale ya weusi wanaouliwa na polisi wa Kizungu.
Inasemekana kwamba 93.6% ya mauaji ya watu weusi huko US yanafanywa na weusi wenzao. Tena nyingi zikiwa ni gun violence
 
LIKE Niku ADD

LIKE Niku ADD

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2014
Messages
3,977
Likes
2,249
Points
280
LIKE Niku ADD

LIKE Niku ADD

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2014
3,977 2,249 280
Rest In Peace #AltonSterling
 
K

Kishada04

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2016
Messages
955
Likes
339
Points
80
K

Kishada04

JF-Expert Member
Joined May 1, 2016
955 339 80
Hata hapa kwetu yanatokea mengi baina ya polisi na raia.
 

Forum statistics

Threads 1,235,910
Members 474,863
Posts 29,240,285