Muuaji wa watu 39 kwenye klabu ya Reina Istanbul akamatwa

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
Vyombo vya habari nchini Uturuki vimesema mshukiwa mkuu katika shambulizi la mkesha wa mwaka mpya mjini Istanbul amekamatwa.

_93621705_78053d34-b231-48fb-8c97-88e4bdfc96fe.jpg

Abdulkadir Masharipov anaaminika kufanya shambulizi hilo ambalo lilisababisha vifo vya watu 39 kwenye klabu ya usiku ya Reina.

Amekamatwa katika mtaa wa Esenyurt mjini Istanbul.

_93622733_adae1454-65bb-4097-938c-4e37644827e7.jpg

Raia wa Israel, Ufaransa, Tunisia, Lebanon, India, Ubelgiji, Jordan na Saudi Arabia walikuwa miongoni mwa waliouawa huku mamia ya watu wakijeruhiwa.

Chanzo: BBC
 
hawa watu huwa nawashangaa sana huwa
ni wepesi kuwauwa wenzao halafu wao
huwa waoga wa kufa
 
Back
Top Bottom