Pakistan: Woman sentenced to death for burning daughter alive

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
Islamabad, Pakistan (CNN) A woman in Pakistan has been sentenced to death for burning her daughter alive in a so-called "honor killing" incident.

Parveen Bibi told a court in Lahore, Punjab that she killed her daughter "for bringing shame to her family," police spokeswoman Nabila Ghazanfar told CNN Tuesday.

Parveen's son Ahmer Rafique was sentenced to life in prison for his role in the crime.

170117135007-parveen-bibi-honor-killing-exlarge-169.jpg
 
Kwa kweli imani ya huyu mama ni hatari.Yaani mama mzazi anaridhika kumchoma bintiye hadi kufa kisa eti kulinda heshima ya familia!?Si angemtandika tu fimbo yaishe kama tufanyavyo huku kijijini?
 
Hawa wana tamaduni za kushangaza na za kukandamiza sana jinsia ya kike...
Nilifuatilia tukio lingine binti aliuawa na familia sababu alikataa ndoa ya lazima...tena hapo ni UK...yani wana tabia ya kuwalazimisha mabinti zao kuolewa na watu wa Pakistan ili wavutane kwenda UK kama binti ana uraia...binti alikataa akauawa...wazazi wakajiliza kama hawajui...baada ya muda mdogo wake (naye wa kike) akaamua kuwachomea wazazi wake polisi...shiiida...
 
Back
Top Bottom